Pre GE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.

Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa

Screenshot_2024-08-11-18-00-27-1.png
Screenshot_2024-08-11-18-00-18-1.png
Screenshot_2024-08-11-18-01-01-1.png

Pia soma:
 
Lissu tu aliyebaki wengine longolongo hamna kitu.

Rushwa Rushwa

Mungu akutunze Lissu
 
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.

Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa

View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104

Pia soma:
Hakuna kongamano, acheni kelele , kongamano la nini mnataka kukonga nini?

USSR
 
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.

Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa

View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104

Pia soma:

Binafsi naona kuna haja ya CCM kujitafakari kama kweli ni chama cha siasa shindani au ni huruma ya dola.
Mwenyekiti wa vijana wao kule Kagera alijiapiza kuteka na kupoteza wanaCDM hatukusia angalau kauli ya msajili au IGP japo kulaani achilia mbali kumkamata na kumuhoji.
Leo CDM wanasema wanakutana kujadili mstakabali na hatima ya nchi hii na kusema hawataki kuwa wateja wa Polisi, IGP anachukua hatua zenye mashaka sana nje ya matarajio ya kikatiba.
Kama nchi kuna safari ndefu sana kufikia demokraaia ya kweli.
 
Back
Top Bottom