Pre GE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

Pre GE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema tulikwambieni mapema kwamba msishabikie Isreal dhidi ya palestina lkn mnajiona mnaijua sana dunia. sasa Pambaneni na hali yenu
Waisraeli walibarikiwa na kupewa nchi ya Israeli. Hao wapalestina waende kuishi jangwani kama miti mikavu , Israeli sio nchi yao .
 
Waisraeli walibarikiwa na kupewa nchi ya Israeli. Hao wapalestina waende kuishi jangwani kama miti mikavu , Israeli sio nchi yao .
Basi na CCM wamebarikiwa nchi hii, chadema wakacheze ngoma
 
Basi na CCM wamebarikiwa nchi hii, chadema wakacheze ngoma
Hii nchi sio ya ccm , ni ya watanganyika. ccm itakufa post 2025 , lakini Tanganyika itaendelea kuwepo milele .
 
Polisi ni kwasababu ya kulinda Watu na Mali zao lakini kutumia Polisi kwa ajili ya kuzuia Mkutano HALALI unaoruhusiwa KIKATIBA NOMA SANA.
Elewa pia kwamba Samia naye anatafuta pa kutokea kwa mbano alio nao kwa sasa. Sijui kama utaelewa! Hizi ni kete za 'chess board' sasa hivi.
 
Elewa pia kwamba Samia naye anatafuta pa kutokea kwa mbano alio nao kwa sasa. Sijui kama utaelewa! Hizi ni kete za 'chess board' sasa hivi.
Samia anahitaji Support yetu, Adui zake wa KWELI wako huko huko KIJANI.

Asitufanye sisi kuwa ni MAADUI.
 
Samia anahitaji Support yetu Adui zake wa KWELI wako huko huko KIJANI.
Hapana.
Hata siku moja usinihusishe na ku'support' aina yoyote ya mkoloni. Angetaka support angeonyesha kuwa anapambana huko huko aliko kutuonyesha juhudi zake za kupambana. Kupambana kwa kwenda kuwaokoteza akina Bashite ili kulaza genge la huko akili?
Samia sasa hivi anaomba sana matukio ya aina hii yamwondolee njiani wapinzani wa kweli, wapigania uhuru halisi wa nchi hii.
 
Viongozi Wengi katika jambo lolote hupendelea kuwatanguliza mbele wale wanaowatawala halafu wao huwafuata kwa nyuma kama Wachunga Mbuzi

Lakini Tundu Antipas Lisu hutangulia mbele yeye mwenyewe

Yesu Kristo alisema " Mchungaji Mwema wa Kondoo hutangulia na kuwaambia Kondoo Kila kitu kibaya kijapo"

Mbowe yeye anasubiri mambo yakae sawa ndio aje na Chopa yeye na Mrema

Mlale Unono 😀😀
Inaudhi sana; kama utaelewa ninacholenga!
 
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.

Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa

View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104

Pia soma:
Polisi itoe tiba stahiki
 
Back
Top Bottom