Kwani Sisiemu wanaogopa nini?
Hoja VS Nguvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Sisiemu wanaogopa nini?
Mtafuteni Lucas Mwashambwa mumbebeshe bendera ya Chadema mumtembeze Nzovwe na Luanda mhakikishe anampelekea hiyo bendera bosi wake wa maokoto Tulia.Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104
Pia soma:
Baba wabariki watu hawaViongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104
Pia soma:
Hakika ni sahihi Lissu PresidentViongozi Wengi katika jambo lolote hupendelea kuwatanguliza mbele wale wanaowatawala halafu wao huwafuata kwa nyuma kama Wachunga Mbuzi
Lakini Tundu Antipas Lisu hutangulia mbele yeye mwenyewe
Yesu Kristo alisema " Mchungaji Mwema wa Kondoo hutangulia na kuwaambia Kondoo Kila kitu kibaya kijapo"
Mbowe yeye anasubiri mambo yakae sawa ndio aje na Chopa yeye na Mrema
Mlale Unono 😀😀
ana hulka kama za Hamas, mbishi halafu muoga kichizi 🐒Viongozi Wengi katika jambo lolote hupendelea kuwatanguliza mbele wale wanaowatawala halafu wao huwafuata kwa nyuma kama Wachunga Mbuzi
Lakini Tundu Antipas Lisu hutangulia mbele yeye mwenyewe
Yesu Kristo alisema " Mchungaji Mwema wa Kondoo hutangulia na kuwaambia Kondoo Kila kitu kibaya kijapo"
Mbowe yeye anasubiri mambo yakae sawa ndio aje na Chopa yeye na Mrema
Mlale Unono 😀😀
QumammkHakuna kongamano, acheni kelele , kongamano la nini mnataka kukonga nini?
USSR
Mafisadi wana nguvu sana.Leo polisi imejiandaa mnoo hapa mbeya kiasi unahisi ufisadi inazidi kulindwa kwa nguvu kubwa mnoo.
Na wameanza kufanya showof za yaani mikwara.
Hakika umenenaNaona amani haitakiwi sasa.
Ni kama walivyokuwa wanasema wale manabii wa zamani katika Biblia;
"BWANA anasema watu wangu ni wajeuri kidogo,nitamtuma Nebuchadnezzar awaadhibu kidogo,awatakase.
Halafu yeye Nebuchadnezzar nitamuadhibu baadaye "
Ccm imebaki na matumaini kwenye kamba nyembamba ya vyombo vya dola.Binafsi naona kuna haja ya CCM kujitafakari kama kweli ni chama cha siasa shindani au ni huruma ya dola.
Mwenyekiti wa vijana wao kule Kagera alijiapiza kuteka na kupoteza wanaCDM hatukusia angalau kauli ya msajili au IGP japo kulaani achilia mbali kumkamata na kumuhoji.
Leo CDM wanasema wanakutana kujadili mstakabali na hatima ya nchi hii na kusema hawataki kuwa wateja wa Polisi, IGP anachukua hatua zenye mashaka sana nje ya matarajio ya kikatiba.
Kama nchi kuna safari ndefu sana kufikia demokraaia ya kweli.
Ila Nguvu ya Mwenyezi-Mungu ni kubwa kuliko mafisadi . Mafisadi yatafeli vibaya sana .Mafisadi wana nguvu sana.
Chadema tulikwambieni mapema kwamba msishabikie Isreal dhidi ya palestina lkn mnajiona mnaijua sana dunia. sasa Pambaneni na hali yenuViongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104
Pia soma: