Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
NaamNo Hate NO Fear!
Hakuna kongamano, acheni kelele , kongamano la nini mnataka kukonga nini?Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104
Pia soma:
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104
Pia soma: