Pre GE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upolsi kwa YlTanzania ndiyo kazi ya hovyo kabisa na iliyopewa laana zote, nadhani ndiyo maana sifa kubwa ili uajiriwe, ni kutokuwa na akili.
 
Mtafuteni Lucas Mwashambwa mumbebeshe bendera ya Chadema mumtembeze Nzovwe na Luanda mhakikishe anampelekea hiyo bendera bosi wake wa maokoto Tulia.
 
Hapo ukute RPC,kashapigiwa simu na watu waliomteua au waliopo karibu na aliyemteua,hapo anatekeleza alichoambiwa,asipotii ataondolewa,sasa akubali kuondolewa au atimize aliloambiwa,yaani akamatekamate kama bosi wake anavyotaka iwe.
 
Baba wabariki watu hawa
 
Viongozi Wengi katika jambo lolote hupendelea kuwatanguliza mbele wale wanaowatawala halafu wao huwafuata kwa nyuma kama Wachunga Mbuzi

Lakini Tundu Antipas Lisu hutangulia mbele yeye mwenyewe

Yesu Kristo alisema " Mchungaji Mwema wa Kondoo hutangulia na kuwaambia Kondoo Kila kitu kibaya kijapo"

Mbowe yeye anasubiri mambo yakae sawa ndio aje na Chopa yeye na Mrema

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
Naona amani haitakiwi sasa.
Ni kama walivyokuwa wanasema wale manabii wa zamani katika Biblia;
"BWANA anasema watu wangu ni wajeuri kidogo,nitamtuma Nebuchadnezzar awaadhibu kidogo,awatakase.
Halafu yeye Nebuchadnezzar nitamuadhibu baadaye "
 
Hakika ni sahihi Lissu President
 
ana hulka kama za Hamas, mbishi halafu muoga kichizi πŸ’
 
Naona amani haitakiwi sasa.
Ni kama walivyokuwa wanasema wale manabii wa zamani katika Biblia;
"BWANA anasema watu wangu ni wajeuri kidogo,nitamtuma Nebuchadnezzar awaadhibu kidogo,awatakase.
Halafu yeye Nebuchadnezzar nitamuadhibu baadaye "
Hakika umenena
 
Ccm imebaki na matumaini kwenye kamba nyembamba ya vyombo vya dola.
 
Chadema tulikwambieni mapema kwamba msishabikie Isreal dhidi ya palestina lkn mnajiona mnaijua sana dunia. sasa Pambaneni na hali yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…