Waisraeli walibarikiwa na kupewa nchi ya Israeli. Hao wapalestina waende kuishi jangwani kama miti mikavu , Israeli sio nchi yao .Chadema tulikwambieni mapema kwamba msishabikie Isreal dhidi ya palestina lkn mnajiona mnaijua sana dunia. sasa Pambaneni na hali yenu
Basi na CCM wamebarikiwa nchi hii, chadema wakacheze ngomaWaisraeli walibarikiwa na kupewa nchi ya Israeli. Hao wapalestina waende kuishi jangwani kama miti mikavu , Israeli sio nchi yao .
Hii nchi sio ya ccm , ni ya watanganyika. ccm itakufa post 2025 , lakini Tanganyika itaendelea kuwepo milele .Basi na CCM wamebarikiwa nchi hii, chadema wakacheze ngoma
Elewa pia kwamba Samia naye anatafuta pa kutokea kwa mbano alio nao kwa sasa. Sijui kama utaelewa! Hizi ni kete za 'chess board' sasa hivi.Polisi ni kwasababu ya kulinda Watu na Mali zao lakini kutumia Polisi kwa ajili ya kuzuia Mkutano HALALI unaoruhusiwa KIKATIBA NOMA SANA.
Samia anahitaji Support yetu, Adui zake wa KWELI wako huko huko KIJANI.Elewa pia kwamba Samia naye anatafuta pa kutokea kwa mbano alio nao kwa sasa. Sijui kama utaelewa! Hizi ni kete za 'chess board' sasa hivi.
Hapana.Samia anahitaji Support yetu Adui zake wa KWELI wako huko huko KIJANI.
Tundu lisu siyo mwamini kwa hiyo hawezi kuwa na karama!Lakini Tundu Antipas Lisu hutangulia mbele yeye mwenyewe
Yesu Kristo alisema " Mchungaji Mwema wa Kondoo hutangulia na kuwaambia Kondoo Kila kitu kibaya kijapo"
Inaudhi sana; kama utaelewa ninacholenga!Viongozi Wengi katika jambo lolote hupendelea kuwatanguliza mbele wale wanaowatawala halafu wao huwafuata kwa nyuma kama Wachunga Mbuzi
Lakini Tundu Antipas Lisu hutangulia mbele yeye mwenyewe
Yesu Kristo alisema " Mchungaji Mwema wa Kondoo hutangulia na kuwaambia Kondoo Kila kitu kibaya kijapo"
Mbowe yeye anasubiri mambo yakae sawa ndio aje na Chopa yeye na Mrema
Mlale Unono 😀😀
Na pesa toka kwa wajomba. Usisahau hilo nalo ni tegemeo kuu.Ccm imebaki na matumaini kwenye kamba nyembamba ya vyombo vya dola.
Polisi itoe tiba stahikiViongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
View attachment 3067101View attachment 3067103View attachment 3067104
Pia soma:
Maskini USSR!! CDM waakutesa xana, achana nao uishi kw raha... dah!Hakuna kongamano, acheni kelele , kongamano la nini mnataka kukonga nini?
USSR
Kuna syndcate ndani ya Serikali imejipanga kumchafua Samia bila yeye kushitukia dili.Kwani Sisiemu wanaogopa nini?