Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Hizi ndio porojo sasa
 
Tukiiandika vizuri KATIBA mpya, automatically, KATIBA za vyama vya siasa zitafumuliwa.
 

Uzuri ni kwamba hata JPM mwenyewe hakuwahi kukataa kuwa “mshamba” kwanza hata alikuwa proud na “ushamba” na hakuput show na ndiyo maana alikuwa akitoka Ikulu anapiga zake Vijijini haku pretend chochote klk hawa wanaoput full show much know lkn in reality ni washamba klk ushamba, ukimsikiliza Tundu Lisu its hard hata kuimagine kwamba anaishi Ulaya, vitu ambavyo anaongea lkn mwemyewe anajiona mjuaji kumbe hamna kitu.

Magufuli alikuwa anapiga mambo yake vijijini huko na Dunia nzima inamfwata wanatafsiri. alichoongea kwenye mainstream Media na alikuwa big hit mpaka kuli trend whatMagufuliwoulddo pamoja na “ushamba” wote, that was the man of the soil, gone too soon!
 
Hamna mwanaccm anayezingumza ukweli,
 
Nilivyomwelewa Lissu alisema watashiriki uchaguzi wa 2025 kwanza kuwe na katiba mpya na pili kuwe na Tume huru ya uchaguzi,bila hivyo atawashangaa Chadema kama watashiriki uchaguzi bila hizo option 2
 
Kugombea ni baada ya kuteuliwa na chama. Kutangaza nia rukhsa ila kutangaza kugombea ni baada ya kupitishwa na chama.
P
Kugombea ni mchakato unaoanzia ndani ya chama,unaweza kugombea na usipewe ridhaa na chama chako.kwa hiyo mtu anaposema nitagombea ni haki yake kikatiba inayompa mwanachama yeyote kugombea Ila mwisho upatikana mwakilishi wa chama husika kugombea nafasi husika ikiwemo ,urais ,ubunge ,udiwani nk.
 
Hakika
 
Mataga mna mbwembwe nyingi sana
 
Kwan mgombea ndani ya chama na yy si ni mgombea pia ?? Au mgombea ni mpk apitishwe na NEC ???

Kipengere Cha ukomo wa uongozi kimeondolewa hata kabla mnyika hajawa naibu katibu mkuu bara ..ni enzi hizooo wkt hata akina zitto bado wako chadema na kiliondolewa na vikao halali vya chama , wala hakikunyofolewa kama unavyodanganya hapa

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani hatukusikiliza mjadala? Lisu aliulizwa kama anautamani urais na akajibu "ndiyo anautamani"
Wapotoshe chawa wenzako tu wavivu wa kufikiri. Na hata akisema atagombea kwani tatizo Nini? Zipo ngazi nyingi za kugombea au kuchukua fomu ikiwemo ngazi ya chama chake na chama ndicho kikaamua.
 
Mshamba toka lini anata kuuawa wew kibwetele pumbavu la Lumumba? Watu wajinga kama wew CCM ndio huwa mtaji wao. Ficha Ujinga wako. Hata Zile sauti za simu zilizorekodiwa za Wana CCM wezako zilisema huyo Mungu wako wa kuzimu ni mshamba. Na ndio maana aliyo yafanya Sasa yanarekebishwa.
 
Alikuwa sahihi. Kusema atagombea haina maana hatafuata taratibu za chama. Yuko sahihi
 
Ukomo WA uongozi kuondolewa sioni kama ni shida ikiwa ni kwa matakwa ya nyakati, maana tasis yoyote inaweza kubadili it's long term policy ili kukidhi mahitaji yaanadiliko ya nyakati
 
Kugombea ni baada ya kuteuliwa na chama. Kutangaza nia rukhsa ila kutangaza kugombea ni baada ya kupitishwa na chama.
P
Hapana. Hapo umekosea kidogo. Kugombea ni nia tu. Labda ungemlaumu kwa kutangaza nia mapema kabla chama chake hakijaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…