Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Paskali, mbona wewe kuna muda huwa unatulisha matango pori.
 
Hapana. Hapo umekosea kidogo. Kugombea ni nia tu. Labda ungemlaumu kwa kutangaza nia mapema kabla chama chake hakijaruhusu.
Mimi zaidi ya kuwa ni mtazamaji wa mtu akiongea kwa kumtazama kwa macho na kumsikiliza sauti kwa masikio, pia nimejaaliwa jicho la roho na sikio la roho!. Amini nakuambia Tundu Lissu aliposema atagombea ni ameisha jiteua!. The Political dynamics za siasa za ndani za Chadema, haziko determined na Wanachadema, siasa za sasa za ndani ya Chadema ziko determined na he who pays the piper, ndie can call the tune ya nani anakuwa mgombea wa Chadema, kama hii sauti nilioisikia kuhusu mgombea urais wa JMT kwa CCM 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, ikitokea sauti hii ikawa sio ya kweli, mgombea urais wa JMT 2025 kwa CCM akawa ni Samia, he who pays the piper, can not allow Tundu Lissu agombee urais Chadema kumchallenge Mama!, hivyo mgombea urais wa Chadema has to be someone else!.
P
 
bali ni rais amepewa taarifa isiyo sahihi!
Wewe umejuaje kama amepewa taarifa isiyo sahihi? wewe una vyanzo vyako binafsi cha uchunguz?

Kwa hiyo hadi taarifa hii inamfikia Rais wa nchi inaweza kuwa ni ya kupika? Je unafahamu taarifa inapitia hatua zipi hadi kumfikia Rais wa nchi? Je kujua China kuna mzigo ama hakuna inachukua dakika ngapi ndugu?
 
Nadhani ujumbe aliokusudia kuufikisha kwetu ni kwamba 1. Hakuna uwezekano wa kupata katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi. Na uchaguzi ujao 2025 mambo yatakuwa kama 2020. 2. Kwakuwa ccm ni chama dola (kuna mahali nadhani P, aliwahi kuandika hivyo) uchaguzi ujao ccm watatangazwa washindi kama walivyotangazwa 2020. Na TAL asigombee
 
Kupotosha ukweli kamwe hakutakupa uteuzi!
 
Kupotosha ukweli kamwe hakutakupa uteuzi!
Kuna wengi humu tunajuana ki JF JF only but we don't really known each others well enough, who we really are!, watu wanaomfahamu vizuri Pasco wanamjua, hivyo wanajua atafute uteuzi for what?!.
P
 
Kugombea ni baada ya kuteuliwa na chama. Kutangaza nia rukhsa ila kutangaza kugombea ni baada ya kupitishwa na chama.
P
Kwani mchakato wa kugombea unaanzia wapi bosi?
Unaanzia kwenye chama, hivyo kusema nitagombea maana yake ataanzia kwenye chama chake ili apate uteuzi!
Pascal usiyempenda huwa unaanzia mbali sana kum disgrade kwa kumveka kilemba cha ukoka kisha kumdidimiza. Kwa Lissu umepotea brother!
 
Anamtetea muongo kwa kuandika akitumia uongo
 
Kuna wengi humu tunajuana ki JF JF only but we don't really known each other who we really are!, watu wanaomfahamu vizuri Pasco wanamjua, hivyo wanajua atafute uteuzi for what?!.
P
Na tumeshuhudia wengi hapa jukwaani wakikandia vyama vya upinzani ili kushawishi mamlaka ya uteuzi kuwapa nafasi! Na kuna msemo maarufu kuwa "Sizitaki mbichi"!
 
Don't ever compare ccm with Chadema
 
Na tumeshuhudia wengi hapa jukwaani wakikandia vyama vya upinzani
Mimi sijawahi kukandia chama chochote, bali huusema ukweli mchungu kuhusu vyama vya upinzani, bado hakuna chama cha upinzani chenye the ability and capabilities to check out CCM!. Sasa ukiusema ukweli huu unaonekana unakandia!. Japo mimi ni kada wa CCM lakini CCM inapoboronga pia naibalasa!.
ili kushawishi mamlaka ya uteuzi kuwapa nafasi! Na kuna msemo maarufu kuwa "Sizitaki mbichi"!
Kama nilivyosema watu hatujuani kiundani tunafanya nini, ila wale wanaonijua shughuli zangu ni nini, then wanajua Pasco anaandika tuu na hatafuti uteuzi wowote na hata mteua ameisha elezwa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…