Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Hiki kinachoendelea Chadema , Mbowe kujiuliza kama agombee tena uenyekiti, ni udhaifu mkubwa wa Chadema kukosa succession plan!, halafu licha ya Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka 20, bado kuna manyumbu fulani matutusa wanamtaka aendelee!.

Tusubirie Jumamosi.
P
 
Pasco nawe naona unademka tu na mirindimo hata hujajua kinachoendelea?!
Duh...!, Mkuu Ndani Inside10 , kwanza nimependa ulipotumia neno kudemka, hili ni neno la Rais Samia, kiukweli huyu mama anakuza sana Kiswahili, jf ni ukumbi wa kuelimishana , naomba unielimishe kinachoendelea.
P
 
P
 
Pascal Mayalla hapa ulisema sahihi, 2024 sasa succession plan haikuwepo, wala nafasi ya Mwenyekiti haikutakiwa kuwa challenged, mpaka Lissu alipobadili gia angani hapo juzi.
 
Tuungane kumu wish Tundu Lissu all the best kesho.
P
 
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…