Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kama unajinasibu unanusa ufisadi, muulize Mbowe michango ya Wabunge iko wapi?

Ndugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
Ufisadi mkubwa upo katika serikali hii pengine kuliko nyingine zote ni wakati mzuri wa kudadavua kila kitu, Lissu endelea kutufungua macho.
 
Hawezi kumuuliza kwakua kamzawadia nafasi ya kugombea Urais.

Yaani kama sio risasi basi Lisu asingegombea Urais.

Mbowe hana raha kabisa .
 
Hawezi kumuuliza kwakua kamzawadia nafasi ya kugombea Urais.

Yaani kama sio risasi basi Lisu asingegombea Urais.

Mbowe hana raha kabisa .
Yaonekana kwa roho kavu uliyonayo, wewe ndio huna raha zaidi
 
Nenda takukuru wanamajibu maana walishafanyia kazi hizo tuhuma
 
Wabunge zaidi ya sabini walikwapuliwa pesa zao. Na pesa zilikuwa kwa ajili ya uchaguzi

.......na uchaguzi ndiyo huu, kila mchangiaji/aliyechangia anaona matunda take, kampeni zinawaka na ndiyo maana hata wewe ukamsikia Tundu Lissu!!

.....after all, si TAKUKURU wanachunguza? Kwanini usiwaulize hao wameona nini, UFISADI au MICHANGO ya utaratibu wa kawaida tu?

.....hebu sasa na wewe tuambie, UFISADI wa Ujenzi wa CHATO INTERNATIONAL AIRPORT na Ununuzi wa Dreamliners, Bombardier, ujenzi wa SGR, na Stiglers Gorge TAKUKURU ya nchi gani inauchunguza UFISADI huo?
 
Upuuzi.
 
Makamu mwenyekiti hatakiwi kuhoji ufisadi?
Mbona mangu lahajahoji ile 1.5 trillion?
Mbona hajahoji mporaji wa KOROSHO huko kusini?
Mbona hajahoji aliyejenga uwanja wa ndege chato alitumia sheria IPi ya manunuzi?
 
Michango ya wabunge sio fedha ya umma..msengerema
 
Hii ni serikali ya kizembe sn na kishetani..... Km kuna ufisadi kwa nn hawakamati wahusika?

Ufisadi wa manunuzi ya ndege, ujenzi wa chato, zile kesi alizosababisha magufuli tukashindwa na kulipa mabilioni ana mgao wake mle.........
Ukiachilia mbali kashfa ya muda mrefu ya kujiuzia nyumba za serikali na zingine kuchanga vimada mpaka akaingia kwenye ugomvi mkubwa na mke wake mpaka kesho.....

Haya yote mtajua hivi punde
 

Kwani taarifa ya CAG inasemaje au hukusoma hiyo taarifa na hujuwi kama wamepewa hati safi. Tumia vizuri akili yako kufikiria mambo ya maana siyo kulishwa matango na wabunge waliokubali kujiuza.
 
hilo hawezikujibu chizi huyo yeye kazi yake kuangalkia ya ccm tu
 
Kwani taarifa ya CAG inasemaje au hukusoma hiyo taarifa na hujuwi kama wamepewa hati safi. Tumia vizuri akili yako kufikiria mambo ya maana siyo kulishwa matango na wabunge waliokubali kujiuza.
ndiyo0 maana cag alitolewa maana alikuwa cdm dam hawezi kuwageuka ukiwa mwizi huwezi kuwageuka wezi wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…