ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Nenda kachange kutoa ni moyo.Mimi naona madiaba ya kuchangisha watu mikutanoni. Labda ndio anatumia hizo,pamoja na Amsterdam akimuzesha kupitia M pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kachange kutoa ni moyo.Mimi naona madiaba ya kuchangisha watu mikutanoni. Labda ndio anatumia hizo,pamoja na Amsterdam akimuzesha kupitia M pesa.
Mbona yeye hamuulizi Dotto James? Hili suala linajulikana wazi zilikwapuliwa,kwa kuwa ni mpinga ufisadi anatakiwa ahoji kwa ukali.Ndio maana narudi pale pale. Haya maswali ni ya kumuuliza yeye mwenyewe. Mtafute mfuate muulize kwanini. Yeye ndio mwenye majibu ya hayo.
Kwa matamanio yako siyo?Jinai haina mwisho,Dpp anamlia timing.
Hilo swali muulize CAG su takukuru mbona unakuwa kilaza hivyoWakati zinakwapuliwa hakuwepo alikuwa Belgium. Usipotoshe hajui matumizi yake,zilikwapuliwa.
Tunataka kujua zile hela za tetemeko ziko wapi, Mayanga construction, 1.5 trillion, ufisadi wa ATCL.Sawa tunataka ahoji ziko wapi bil 8 za watanzania?
Kampitie Lijualikali mwende tena TAKUKURUSawa tunataka ahoji ziko wapi bil 8 za watanzania?
Thats not oral evidence. Nothing but emotions.Oral or document evidence is admissible in court.
Sio kweli mkuu, the best evidence is oral evidence. Because it is direct evidence...Thats not oral evidence. Nothing but emotions.
Oral evidence doesnt guarantee you to win a case... physical evidence play a large part in deciding the case.
Physical evidence is the key component in any case.
Njaa ya akili ni mbaya sana. Nakuhakikishia MAGUFULI anachukiwa na watu wote wenye akili.Lakini naona Watanzania tunamatatizo vichwani kwetu, Mbona hawa walioibiwa pesa za tetemeko wamempokea anaetuhumiwa kwa kishindo kikubwa?
Oral evidence inaweza kuwa twisted kirahisi sana. No body trust words. Physical evidence si rahisi .Sio kweli mkuu, the best evidence is oral evidence. Because it is direct evidence...
Unaelewa ninacho kwambia? Muulize yeye.Mbona yeye hamuulizi Dotto James? Hili suala linajulikana wazi zilikwapuliwa,kwa kuwa ni mpinga ufisadi anatakiwa ahoji kwa ukali.
Njaa ya akili ni mbaya sana. Nakuhakikishia MAGUFULI anachukiwa na watu wote wenye akili.
Hafai kuwa kiongozi yule NYAPARA
Sijui sheria zawapi hizo unasema we pimbi yaani una iba kwasababu unamuhisia fulani nayeye atakua kaibaNdugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma....
Kama magufuli alivomiliki uwanja wa chatoLissu hana mamlaka ya kuhoji kwasababu Mbowe ndo mmiliki halali wa Chadema.
Mada ya kesho ni tirioni 1.5 ndiyo iliyopo tarehe 16Lissu ndio akazie msumari Mbowe apelekwe mahakani maana Lissu hapendi ufisadi. Tena kesho aliongelee hili jukwaani.
Sasa kajuaje kuhusu ufisadi wa JPM ili hali hakuwepo?😂😂😂Wakati zinakwapuliwa hakuwepo alikuwa Belgium. Usipotoshe hajui matumizi yake,zilikwapuliwa.