Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kama unajinasibu unanusa ufisadi, muulize Mbowe michango ya Wabunge iko wapi?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kama unajinasibu unanusa ufisadi, muulize Mbowe michango ya Wabunge iko wapi?

Dpp anawalia timing anytime kinanuka. Ila huyu mpambana ufisadi tunataka akemee na huu ufisadi.
Hizo ni story za kusadikika. Unalala na dpp ww?

Unadai ni ufisadi.. una evidence? Maana takukuru wameshachunguza hawakukuta ufisadi.
 
Ndugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
It is tsh 1.5 trilion only
 
Simpuuzi. Ila machozi pekee hayatoshi. Hinahitajika vielelezo vinavyo support yeye kutoa hayo machozi.
Evidence zinahitajika kudgibitisha madai
Vielelezo ni oral explanation ya mhanga.
 
Ahaaa,jikite kwenye hoja. Kuna bil 8 zimepotea tunataka tujue zipo wapi. Lissu tusaidie kuhoji maana wewe unahoji mambo mengi.
Kwani billion nane na 1.5tilion ipi pesa ndefu CAG professor asad alishaikagua chadema akatoa hati safi wakati huo CCM wakapata hati chafu wewe unaongea billion nane wanazoongelea wajinga wenu wakina msukuma
 
Kaka sijui dada acha porojo. Lissu anafanya campaign zake kwa mujibu wa mipango ya chama chake. Tena ni pamoja na mgombea mwenza wake.

Nimekuuliza, swali hilo unaweza ukaliuliza huko kwenu (Lumumba) ?!
Mimi nitajua vipi? Yeye mwenyewe aliongea na wanahabari akasema hali ni mbaya sana kifedha.
 
Kawaulize takukuru wameishia wapi kwenye uchunguzi wao
 
Vielelezo ni oral explanation ya mhanga.
Huwezi fanya judgement based on emotion. Hata mahakamani hawafanyi maamuzi kwa kuangalia emotion za mtu. Always kunakuwepo evidence zinazo support madai yake.
 
He's My President.
IMG_20200915_201610.jpeg
 
Huwezi fanya judgement based on emotion. Hata mahakamani hawafanyi maamuzi kwa kuangalia emotion za mtu. Always kunakuwepo evidence zinazo support madai yake.
Oral or document evidence is admissible in court.
 
Ahaaaaa. Mbona ufisadi wa ndege zilizonunuliwa Atcl haendi kumuuliza waziri wa fedha kama ni kweli!
Ndio maana narudi pale pale. Haya maswali ni ya kumuuliza yeye mwenyewe. Mtafute mfuate muulize kwanini. Yeye ndio mwenye majibu ya hayo.
 
Ndugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma....
Swali la kitoto hilo. Na ww unaona umetoa hoja ya msingi!!!! Hahahahah.....watu wakiishiwa hoja bwana.
 
Back
Top Bottom