Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kama unajinasibu unanusa ufisadi, muulize Mbowe michango ya Wabunge iko wapi?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kama unajinasibu unanusa ufisadi, muulize Mbowe michango ya Wabunge iko wapi?

Kwa iyo ndo mmetumwa kuja kuzima upepo wa magufuli na ndugu zake kufisadi pesa za watanzania kwa mradi wao wa uwanja wa ndege wa Chato???
Hizo ni porojo za Lissu.Ila hii michango ilitafunwa mpaka Peter akalia mjengoni.
 
Ndugu Tundu Lissu mgombea wa Chadema unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
Kwa niaba ya Tundulisu naomba nikujibu

Kwa miaka mitano mfulilizo, chadema ni chama cha siasa pekee ambacho hakijapata hati chafu ,

Miezi kadhaa nyuma , Takukuru waliwaita viongoz wakuu wa chama na kuwahoji kuhusu haya matumizi wakajiridhisha kua hakukua na kasoro yeyote

Sasa rudi kwa bwana wako kampe haya majibu
 
sasa amuulize nini. wakati yeye ni makamu mwenyekiti anajua matumizi yake.
kuna utaratibu wa matumizi hayo ulifanyika kama makubaliano yalivyokuwa kati ya wabunge na uongozi wa juu? Mbona wabunge wanasema hawakushirikishwa katika matuzi nje ya uchaguzi kam zilivyokuwa zimepangiwa?
 
Sijampangia ila kwa kuwa ni mpinga ufisadi angeonyesha mfano kwa kushughulikia mafisadi ndani ya Chadema.
Takukuru walisha waita wakawahoji wabunge wote wa chadema. Lakin hakuna dosari waliyoikuta.
 
Takukuru walisha waita wakawahoji wabunge wote wa chadema. Lakin hakuna dosari waliyoikuta.
Dpp anawalia timing anytime kinanuka. Ila huyu mpambana ufisadi tunataka akemee na huu ufisadi.
 
Usijitoe ufahamu wakati kuna mtu alilia bungeni kwa ajili ya michango yake.
Sijitoi ufaham. Kulia kwake si ushahidi.
Leta document zinazoonyesha kuwa kulikuwa na dosari kwenye hiyo michango. Na supportive evidence... na usiniambie evidence za watu kulia. Hiyo sio evidence.
 
Kwani zinazomsaidia sasa hivi Unajua zilitoka wapi ?!.

Je swali kama hili unaweza ukaliuliza huko kwenu ?!.
Mimi naona madiaba ya kuchangisha watu mikutanoni. Labda ndio anatumia hizo,pamoja na Amsterdam akimuzesha kupitia M pesa.
 
Sijitoi ufaham. Kulia kwake si ushahidi.
Leta document zinazoonyesha kuwa kulikuwa na dosari kwenye hiyo michango. Na supportive evidence... na usiniambie evidence za watu kulia. Hiyo sio evidence.
Kwani wewe ukikuta mtu analia anasema amedhulumiwa unampuuza?
 
Hilo ni swali la kumuuliza yeye binafsi. Mtafute muulize personaly kuwa ziko wapi.
Ahaaaaa. Mbona ufisadi wa ndege zilizonunuliwa ATCL haendi kumuuliza waziri wa fedha kama ni kweli!
 
Ndugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
Huyo hana cha kuuliza maana ni miongoni mwa watafunaji pale kwenye saccos yao.Watanzania wanapaswa kuwa makini na hiki kikundi, zao na wabunge wao haziwatoshi wanaona wawachangishe wananchi hivyo kabisa.
 
Kwani wewe ukikuta mtu analia anasema amedhulumiwa unampuuza?
Simpuuzi. Ila machozi pekee hayatoshi. Hinahitajika vielelezo vinavyo support yeye kutoa hayo machozi.
Evidence zinahitajika kudgibitisha madai
 
Mimi naona madiaba ya kuchangisha watu mikutanoni. Labda ndio anatumia hizo,pamoja na Amsterdam akimuzesha kupitia M pesa.
Kaka sijui dada acha porojo. Lissu anafanya campaign zake kwa mujibu wa mipango ya chama chake. Tena ni pamoja na mgombea mwenza wake.

Nimekuuliza, swali hilo unaweza ukaliuliza huko kwenu (Lumumba) ?!
 
Back
Top Bottom