Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe aliitwa takukuru. Akahojiwa ... pamoja na wabunge wote. Kuhusu matumiz ya hizo pesa.mwenyekiti wa CCM katamba peke yake miaka 5 akiwananga wenziwe. zamu yake imefika sasa!
achana na Mbowe!
Huwez mpangia cha kusema. Ww kama nnani?Lissu ndio akazie msumari Mbowe apelekwe mahakani maana Lissu hapendi ufisadi. Tena kesho aliongelee hili jukwaani.
Kama Mwanajeshi wa TAKUKURU hakuona ufisadi Lissu atauina wapi? Unafikiri kwa ubonge kweli wewe?Lissu ndio akazie msumari Mbowe apelekwe mahakani maana Lissu hapendi ufisadi. Tena kesho aliongelee hili jukwaani.
Ile michango ipo kisheria wewe juha. Ukiingia kwenye chama chochote lazima ukubaliane na sheria za hilo kuandi. Kama katiba ya CHADEMA Inawataka wabunge kuchangia na wao wamekubali wewe ni nani hata kuhoji?Ndugu Tundu Lissu mgombea wa Chadema unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
Kama.aliona autoe huo ufisadi. Anaogopa nini?Una uhakika hakuona?
Kwa hiyo ndio ikwapuliwe?Ile michango ipo kisheria wewe juha. Ukiingia kwenye chama chochote lazima ukubaliane na sheria za hilo kuandi. Kama katiba ya CHADEMA Inawataka wabunge kuchangia na wao wamekubali wewe ni nani hata kuhoji?...
Acha upuuzi, zilichangwa kwa ajili ya uchaguzi sio kukwapuliwaMatumizi ya fedha Zilizo katwa Kwa wabunge ni Kwa mujibu wa Katiba ya CDM na Nadhani hawapaswi kuingiliwa Katika hili, Kama wabunge wenyewe Hawa lalamiki zaidi ya wale tu Walio fika bei.... Kwahiyo, Wala Hakuna haja ya kujua fedha halali walizo changia kuimarisha chama ni tatizo Kwako.. Basi unashida ya uelewa wa mambo ya siasa, Mtoa Post acha ushabiki soma Katiba...!! Ya CHADEMA
Inakwapuliwa nanani wewe?Kwa hiyo ndio ikwapuliwe?
Magufuli ndo ahoji...kama Lissu anavyohoji wa Jiwe na Mpwa wake Dotto kugawa tenda na kujilipa wanavyotaka.Makamu mwenyekiti hatakiwi kuhoji ufisadi?
Hazina.
Kwa iyo ndo mmetumwa kuja kuzima upepo wa magufuli na ndugu zake kufisadi pesa za watanzania kwa mradi wao wa uwanja wa ndege wa Chato?Ndugu Tundu Lissu mgombea wa Chadema unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
Lakini naona Watanzania tunamatatizo vichwani kwetu, Mbona hawa walioibiwa pesa za tetemeko wamempokea anaetuhumiwa kwa kishindo kikubwa?Ile michango ipo kisheria wewe juha. Ukiingia kwenye chama chochote lazima ukubaliane na sheria za hilo kuandi. Kama katiba ya CHADEMA Inawataka wabunge kuchangia na wao wamekubali wewe ni nani hata kuhoji?..