Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
kama toto dogo vile πTundu Lissu akiwa mahakamani, amesikika akisema; "Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine!"
Mama yako wa kizimkazi aliishawahi kumfananisha na simba wa nyikani. Kamasi ulizojaza kichwani zimekufanya uwe msukule wa ccm.....msenge wewe!kama toto dogo vile π
kibaraka anailazimisha furaha ingawa moyoni na akilini ana stress za kiwango kibaya sana, huku mamluki wake wakitibua nywele zao kama vibaka vile na kupiga makelele kama wendawazimu πMama yako wa kizimkazi aliishawahi kumfananisha na simba wa nyikani. Kamasi ulizojaza kichwani zimekufanya uwe msukule wa ccm.....msenge wewe!
Hakuna kitu kinaumiza kama kutaka kumkomoa mtu kisha akaonyesha hajali na kubaki na msimamo wake. Hakuna asiyejua maumivu ya Samia na nyie chawa wake. Msimamo wa Lisu umewafanya muonekane machupi tu.kama toto dogo vile π
Hata wewe mwenyewe unampenda kinoma, ni vile tu unaandika ili ulipwekama toto dogo vile π
huenda kapona minyoo, leo hajaja na kiporo wali kizimbani, dah πHata wewe mwenyewe unampenda kinoma, ni vile tu unaandika ili ulipwe
Matusi yako yanakudhalilidha mwenyewe.kibaraka anailazimisha furaha ingawa moyoni na akilini ana stress za kiwango kibaya sana, huku mamluki wake wakitibua nywele zao kama vibaka vile na kupiga makelele kama wendawazimu π
Unajua hana hatia, ila rasilimali za Tanganyika mnazopora zinakufanya uwe kichaa wa kutukana ovyo kama umetoka mirembe.kibaraka anailazimisha furaha ingawa moyoni na akilini ana stress za kiwango kibaya sana, huku mamluki wake wakitibua nywele zao kama vibaka vile na kupiga makelele kama wendawazimu π
kwani wakati wa kuiuka sheria, huyo mtuhumiwa wa uhaini alikua analenga kuzikomoa sheria za Tanzania au alikua anazibip zikampigia?Hakuna kitu kinaumiza kama kutaka kumkomoa mtu kisha akaonyesha hajali na kubaki na msimamo wake. Hakuna asiyejua maumivu ya Samia na nyie chawa wake. Msimamo wa Lisu umewafanya muonekane machupi tu.
kama toto dogo vile π
jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman, na ikiwa uko pointless kaa kimya tu na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela nonsense jukwaani πUnajua hana hatua, ila rasilimali za Tanganyika mnazopora zinakufanya uwe kichaa wa kutukana ovyo kama umetoka mirembe.
siku akihukumiwa tu,Lissu uhaini umemponza, nywele kawa kama mwendawazimu nashauri magereza wamnyoe kipara.