Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
relax gentleman, tuliza mihemko nonsense na itapendeza zaidi 🐒Wewe bwabwa lililokubuhu
relax gentleman, tuliza mihemko nonsense na itapendeza zaidi 🐒Wewe bwabwa lililokubuhu
Yaani unavyoandika sidhani kama ata umemaliza kidato cha sita. N a ata kama umemalizakidato cha sita nadhani ulishindwa vibaya sanakibaraka anailazimisha furaha ingawa moyoni na akilini ana stress za kiwango kibaya sana, huku mamluki wake wakitibua nywele zao kama vibaka vile na kupiga makelele kama wendawazimu 🐒
jikite kwenye hoja bila kuweweseka wala mihemko gentleman na itapendeza zaidi 🐒Yaani unavyoandika sidhani kama ata umemaliza kidato cha sita. N a ata kama umemalizakidato cha sita nadhani ulishindwa vibaya sana
AminaSamia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii, ila ajue malipo atayapata hapahapa duniani.
Mbona wewe ni mwendawazi tayari nani kakuambia una akili?kibaraka anailazimisha furaha ingawa moyoni na akilini ana stress za kiwango kibaya sana, huku mamluki wake wakitibua nywele zao kama vibaka vile na kupiga makelele kama wendawazimu 🐒
Usikute ni jini?Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii, ila ajue malipo atayapata hapahapa duniani.
Gentleman,Mbona wewe ni mwendawazi tayari nani kakuambia una akili?
Anza kuwa na Akili kwanza ndipo uwe na ujasiri wa kuongea maana hapo ulipo unalelewa kwa masela ghetoNdugu usie na wazimu,
jikite tu basi kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka wala kumbwelambwela nonsense jukwaani nadhani itapendeza zaidi 🐒
Kwani lema kalazimishwa?Gentleman,
mimi na lema tumekataa hiyo nonsense ya kutibua minywele kama wendawazimu, fanyeni nyinyi 🐒
Siamini kabisa wanawake wa kiislamu ni katili kwa kiwango hiki!Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii, ila ajue malipo atayapata hapahapa duniani.
kibaraka alikua anamchongea kwa mamluki wake mahakamani, kwa kuuliza kwamba why jamaa wa malori hajatibua minywele na kuonekana kama mwendawazimu kama sugu na boniyai?🐒Kwani lema kalazimishwa?
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja bila kuweweseka na porojo useless jukwaani gentleman 🐒Anza kuwa na Akili kwanza ndipo uwe na ujasiri wa kuongea maana hapo ulipo unalelewa kwa masela gheto
Maku ww!kama toto dogo vile 🐒
Kwahiyo lile Tumbo Lissu anaonea sifa?Hakuna kitu kinaumiza kama kutaka kumkomoa mtu kisha akaonyesha hajali na kubaki na msimamo wake. Hakuna asiyejua maumivu ya Samia na nyie chawa wake. Msimamo wa Lisu umewafanya muonekane machupi tu.
Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii, ila ajue malipo atayapata hapahapa duniani.
Ok.🐒Maku ww!
Aliyewahi kukufuga wewe kama nguruwe kabla hujawa mzoga, Samia Suluhu Hassan ana hali ngumu sana moyoni mwake.kama toto dogo vile 🐒
Huyu kamwe hatastaafu salama.Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii, ila ajue malipo atayapata hapahapa duniani.