Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.