Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata mumeo anakunywa viroba?UTOPOLO HUU. VIJANA GANI UNAWAONGELEAA? WANYWA VIROBAAA?
Yaani vijana tuko tayari kwa lolote.Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
Huyu ndiye mzalendo wa kweli
Miaka kumi kwa utaratibu wa CCM na si katiba ya Tanzania mkuu. Katiba inasema kwa kipindi cha miaka 5 mitanoTafuta mfano mwingine acha mfano wa Mugabe.alitolewa madarakani lakini alipewa heshima yake kama Rais mstaafu na stahiki zote aliandaliwa na alizikwa kwa heshima zote za kiserikali.
Uzuri wa hapa kwetu ni miaka kumi kumi tu kisha anakuja mwingine.
Vijana mpo tayari Facebook, jamii forum na mitandao ya kijamii tu!
Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
Eti kawafunga Mashehe wa kiislamu bila kuhukumiwa miaka 5 sasa halafu anajifanya kuchangisha harambee juwajengea msikiti wake sijui anataka wakaswali waislamu gani. Huyu babu dikteta kazeeka vibaya sanaa.Huu utawala hata shetani kauvulia kofia kuwa umemzidi. Ni utawala unaoua watu kikatili halafu unakimbilia kanisani kutaka uombewe. Hapo shetani kabaki kinywa wazi kwa mshangao.
Wewe mwenye division 1 unangoja upewe tume na mabeberu? Nyie endeleeni tu kua ma keyboard warrior tu........mtabeba labda nchi ya jf jimbo la mtandaoniUelewa wako bado mdogo sana na ndio madhara ya Division five haya.
Haya mawazo ya kutegemea Tume ya uchaguzi mwaka huu yaondoe mambo yamebadilikaLabda kaigage amsaliti jiwe vinginevyo hakuna kitu hata vijana muwe na ari vipi!!
Unapaswa kuachana na mawazo ya kizamani ya kutumia nguvu.mambo yamebadilika.Watamuapisha?
Yamebadilika kuna tume mpya¿¿¿¿ au ndo kuishi kwa matumainiUnapaswa kuachana na mawazo ya kizamani ya kutumia nguvu.mambo yamebadilika.
Kwaakili zenu nyie majitu ya ccm mnadhani sisi vijana tunaishi ndani ya mitandao ya kijamii kumbe tupo huku mtaani.Vijana mpo tayari Facebook, jamii forum na mitandao ya kijamii tu!
Subiri ujionee kwa macho yakoYamebadilika kuna tume mpya¿¿¿¿ au ndo kuishi kwa matumaini