NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Lissu atashinda urais wa buza au tandale kwa binyau.ila sio urais wa nchi ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niguse ninukeVijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
UTOPOLO HUU. VIJANA GANI UNAWAONGELEAA? WANYWA VIROBAAA?
Wanywa viroba ni wake wanaopigana mitama baada ya kunywaUTOPOLO HUU. VIJANA GANI UNAWAONGELEAA? WANYWA VIROBAAA?
Huo ndio ukweli ccm ni ya kuipiga chini sasa watu wamechoka na ujinga wa watu hawa.Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
Awamu ya Magufuli , ajira zikitoka , basi robo ya waajiriwa wanatoka kanda yetu pendwa ya WaziVijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
Baba yako anakaa buza kwa mpalange na ndiye refa wa mpalange gamesLissu atashinda urais wa buza au tandale kwa binyau.ila sio urais wa nchi ya Tanzania.
Na Lissa atakuwa Rais wa mpalange games ya buza,ila sio Urais wa Tanzania.Baba yako anakaa buza kwa mpalange na ndiye refa wa mpalange games
Hata Mugabe alikuwa kichwa ngumu sanaa. Siku moja alipo amka asubuhi akijua maisha yanaendelea kama kawaida akakuta vifaru na Burdoza amewekewa mlangoni kwake asitoke nje wala kwenda kokote.Lissu atashinda urais wa buza au tandale kwa binyau.ila sio urais wa nchi ya Tanzania.
AminaLissu ni Jembe. Kwanza tangu kushindwa kwa mauwaji ya kishetani yaliyopangwa na waliokataa kuwatafuta wauwaji wa Lissu tayari nikajua kuwa Mungu huyu tunaye mwabudu ameamua kuwavua nguo.
Serikali ya Tanzania kwa kukataa kuwatafuta wauwaji, na kumfutia ubunge walionyesha wazi kuwa wao ndio waliopanga mauwaji.
Sisi tutakuwa na Lissu maana ndio mtu wa Mungu. Wengine ni watu wa shetani maana walikataa hata kuchangia damu nayo walizuia kabisa.
CCM yote ni mashetani na hayatakiwi na jamii ya wazalendo wa nchi hii. Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii ni kuikataa ccm na yoyote anayeitumikia.
Tupo pamoja mkuuVijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.
Kwa miaka mitano raia wameuwa, kuteswa, kutekwa, biashara kufilisiwa, kilimo kuzorota, Uhuru kubinywa Uchaguzi serikali za mitaa kuvurugwa, Ajira za upendeleo.Wafanyakazi kuteswa na kunyanyswa, hakuna kupandishwa vyeo wala kuongeza mishahara.
Wanaua watu raia wema halafu wanasema Mabeberu wasiwaingilie kwa kuwa mauaji na ukatili wanao ufanya kwa Watanzania unafanyika ndani ya nchi yao hivyo ni mambo yao ya ndani wasiingiliwe.
Vijana tumechoka kuona haki ikitoweka kutokana na uchu wa madaraka wa Bwana yule na genge lake la wanyanga'anyi. Tulikuwa tunasubiria kiongozi thabiti atuongoze ktk mageuzi ya kweli. Hatuhitaji siasa za Maigizo kwetu tunao jitambua tunajua siasa ndio inayo tufanya tuishi maisha haya leo.
Hakuna jiwe litakalo salia hapo Octoba ambalo halita bomolewa.
Ile barua walio andikiwa na Mwanasheria nguli Msomi toka Uholanzi inasema hivi :
"We and the broader international community will be closely Monitoring the events in Tanzania over the coming weeks"
Yaani tafsiri kwa lugha ya kizaramo ni kuwa jamii kubwa ya kimataifa itaanza kufuatilia kwa ukaribu matukio yote ya ukiukaji wa haki za Binadamu na uchaguzi Tanzania kuanzia wiki ijayo.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Uonevu Sasa baaaaaathiii.
Tafuta mfano mwingine acha mfano wa Mugabe.alitolewa madarakani lakini alipewa heshima yake kama Rais mstaafu na stahiki zote aliandaliwa na alizikwa kwa heshima zote za kiserikali.Hata Mugabe alikuwa kichwa ngumu sanaa. Siku moja alipo amka asubuhi akijua maisha yanaendelea kama kawaida akakuta vifaru na Burdoza amewekewa mlangoni kwake asitoke nje wala kwenda kokote.
Bila kujali itikadi za vyama [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mwenyezi Mungu amesikia matakwa ya watanzania walio wengi
Kura yangu kwa JIWETAL.... The game changer in 2020
Kanyaga twende TAL wewe ndio chaguo la watanzania hiyo mikwala yao haifanyi kituVijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana yule miaka yake mitano ila mioyo yao ipo na wewe upande wa haki.