Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kanyaga twende Vijana tupo na ari kubwa sana

Niguse ninuke
 
Huo ndio ukweli ccm ni ya kuipiga chini sasa watu wamechoka na ujinga wa watu hawa.
 
Awamu ya Magufuli , ajira zikitoka , basi robo ya waajiriwa wanatoka kanda yetu pendwa ya Wazi
 
Lissu ni Jembe. Kwanza tangu kushindwa kwa mauwaji ya kishetani yaliyopangwa na waliokataa kuwatafuta wauwaji wa Lissu tayari nikajua kuwa Mungu huyu tunaye mwabudu ameamua kuwavua nguo.

Serikali ya Tanzania kwa kukataa kuwatafuta wauwaji, na kumfutia ubunge walionyesha wazi kuwa wao ndio waliopanga mauwaji.

Sisi tutakuwa na Lissu maana ndio mtu wa Mungu. Wengine ni watu wa shetani maana walikataa hata kuchangia damu nayo walizuia kabisa.

CCM yote ni mashetani na hayatakiwi na jamii ya wazalendo wa nchi hii. Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii ni kuikataa ccm na yoyote anayeitumikia.
 
Lissu atashinda urais wa buza au tandale kwa binyau.ila sio urais wa nchi ya Tanzania.
Hata Mugabe alikuwa kichwa ngumu sanaa. Siku moja alipo amka asubuhi akijua maisha yanaendelea kama kawaida akakuta vifaru na Burdoza amewekewa mlangoni kwake asitoke nje wala kwenda kokote.
 
Amina
Amina
 
Tupo pamoja mkuu
 
Hata Mugabe alikuwa kichwa ngumu sanaa. Siku moja alipo amka asubuhi akijua maisha yanaendelea kama kawaida akakuta vifaru na Burdoza amewekewa mlangoni kwake asitoke nje wala kwenda kokote.
Tafuta mfano mwingine acha mfano wa Mugabe.alitolewa madarakani lakini alipewa heshima yake kama Rais mstaafu na stahiki zote aliandaliwa na alizikwa kwa heshima zote za kiserikali.
Uzuri wa hapa kwetu ni miaka kumi kumi tu kisha anakuja mwingine.
 
Tushachoka kunyimwa uhuru.
Mtaani hali ya mzunguko wa fedha ni ngumu, Hakuna Ajira, Biashara nazo kila mtu analalamika hazitoboi, Ukitaka Kubeti napo huruhusiwi kupeana mawazo na mtu!. Utawala huu ni wa hovyo kweli eti Maudhui.
Octoba navunja Jiwe nachagua Uhuru.
 
Kanyaga twende TAL wewe ndio chaguo la watanzania hiyo mikwala yao haifanyi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…