Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kanyaga twende Vijana tupo na ari kubwa sana

Udikteta SASA BASI!

 
Yap ubarikiwe kwa kusema wazi
Wazi yaliyo mioyoni yetu
 
Lissu atashinda urais wa buza au tandale kwa binyau.ila sio urais wa nchi ya Tanzania.
Tulieni Sasa msibabaike, mara mchangishe hela za msikiti kanisani mara msababishe wasanii kupigana Uwanja wa Taifa, tulieni tuwaoneshe kazi Tarh 28 October malafa nyie
 
Vijana mpo tayari Facebook, jamii forum na mitandao ya kijamii tu!
 
Magufuli anatajwatajwa sana kwenye mdomo wa Lissu.wakati JPM yeye anachapa kazi tu.
Huwezi kwenda kanisani au msikitini bila kumkemea shetani hiyo siyo Ibada
 
Ukisoma vizuri Uzi wako unatia huruma sana,
Maana ni kama mtu aliyerogwa bila yeye kujua kwamba amerogwa, Bali kama sivyo basi wewe ni mfia chama kama walivyo wenzako tu.
 
Sio ajira za upendeleo, ajira hakuna kabisa waliofukuzwa kazi kwa kigezo cha vyeti feki ni wengi na hatukuona replacement take

1. zile ajira za uhamiaji kila mwaka zimekoma
2. zile ajira za jeshi la polisi za kila mwaka zimekoma
3. zile ajira za magereza za kila mwaka zimekoma
4. ajira za jwtz direct zimekoma kuanzia za graduate mpk form 6 na form 4
5. ajira za National Audit Office za kila mwaka zimekoma
6. ajira za mamia TRA za kila mwaka zimekoma
7. ajira za walimu za kila mwaka zimekoma
8. ajira za first class BCOM n other courses zimekoma
9. leo hii ata waliomaliza masomo udaktari Muhimbili wanasaka ajira kwa tochi
10. toka mwaka 2015 graduate analipwa laki5 mwalimu, hakuna kupanda daraja hakuna nyongeza ya mshahara
11. mabenki uwezo wa kukopesha umeshuka

haya yote 11 JK pa1 na mapungufu yake aliyamudu, huyu JPM anakwama wapi?..atasema barabara - mbona JK alijenga barabara na yeye akazisimamia lkn haya aliyatenda
vijana wam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…