Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kanyaga twende Vijana tupo na ari kubwa sana

TAL God knows you, God loves you, Watz loves you,Your smart, Your royal , You know the way, were together keep on going.
 
Yaani vijana tuko tayari kwa lolote.
 
Tafuta mfano mwingine acha mfano wa Mugabe.alitolewa madarakani lakini alipewa heshima yake kama Rais mstaafu na stahiki zote aliandaliwa na alizikwa kwa heshima zote za kiserikali.
Uzuri wa hapa kwetu ni miaka kumi kumi tu kisha anakuja mwingine.
Miaka kumi kwa utaratibu wa CCM na si katiba ya Tanzania mkuu. Katiba inasema kwa kipindi cha miaka 5 mitano
 
Vijana ni nguvu na nguzo ya taifa.
Mkisimama imara, mtatuondolea yule dikteta kutoka chattle. Mna uwezo huo.
 
Uonevu sasa baaaaaaaaaaaaasiiiiiiii. Tuko na Tundu Lissu.
 
Kiongozi umetuwakilisha vyema sana. Na si vijana tu, hata majimama kama sisi. Tunamtaka Lissu, period. Jiwe mumfanye Rais wa nyumba zenu nyie MATAGA.
 
Vijana mpo tayari Facebook, jamii forum na mitandao ya kijamii tu!

Wewe umejisahaulisha nyomi sinazomlaki kila siku na kila sehemu anapopita? Bado habari hamna tu kuwa Watanzania wako na Lissu? Au unajitoa ufahamu? [emoji15]
 
Chorus; Tumeibiwa kura.....
 

Huu utawala hata shetani kauvulia kofia kuwa umemzidi. Ni utawala unaoua watu kikatili halafu unakimbilia kanisani kutaka uombewe. Hapo shetani kabaki kinywa wazi kwa mshangao.
 
Mimi naona scenario ya Gambia. Lissu kujiapisha na kupata support ya Western countries!
 
Huu utawala hata shetani kauvulia kofia kuwa umemzidi. Ni utawala unaoua watu kikatili halafu unakimbilia kanisani kutaka uombewe. Hapo shetani kabaki kinywa wazi kwa mshangao.
Eti kawafunga Mashehe wa kiislamu bila kuhukumiwa miaka 5 sasa halafu anajifanya kuchangisha harambee juwajengea msikiti wake sijui anataka wakaswali waislamu gani. Huyu babu dikteta kazeeka vibaya sanaa.
 
Uelewa wako bado mdogo sana na ndio madhara ya Division five haya.
Wewe mwenye division 1 unangoja upewe tume na mabeberu? Nyie endeleeni tu kua ma keyboard warrior tu........mtabeba labda nchi ya jf jimbo la mtandaoni
 
Vijana mpo tayari Facebook, jamii forum na mitandao ya kijamii tu!
Kwaakili zenu nyie majitu ya ccm mnadhani sisi vijana tunaishi ndani ya mitandao ya kijamii kumbe tupo huku mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…