Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jibu hoja rais anapuyanga tu hata hajui what's going on.
 
Mkikosa hoja za kujibu ndio mnashoboka utumbo kama huu!! Shame on you!! Una matatizo makubwa sana kichwani!
 
CHADEMA pale kwenye minimum reforms kwenye katiba ya sasa;katiba itamke kuwa endapo Rais aliyechaguliwa kwa kura na Wananchi akifariki basi Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais wa mpito kwa kipindi cha siku 90 uku serikali ikiandaa uchaguzi Mkuu.
Samia katupiga na kitu kizito kichwani aisee,hapana kwa kweli!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Amenena vyema..
TAL ni kati ya wazalendo halisi wa nchi ya Tanzania
 
Kwenye Anasa hapo ni kweli tupu, Serikali ina matumizi ya Anasa kuliko Serikali yoyote ile ya Africa kwa sasa.
 
Wested sperm,
 
Itisha maandamo kwa sababu izo hapo juu, sio kwa upumbavu wa kutetea tumbo la mwenyekiti wa Chadema
 
Kuna kiongozi mmoja wa CCM alitajwa na Lissu kuwa ni kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania,baada ya hapo kiongozi huyo akajitaja mwenyewe kuwa yeye ni kichaa ndio maana anawateua vichaa wenzake katika utawala wake.

Sasa sijui kati ya Lissu ambaye ukichaa wake haujathibitishwa popote, na yule aliyejisema mwenyewe waziwazi kuwa ni kichaa na ukichaa wake alikuwa anauthibitisha kwa vitendo vyake sijui nani ni kichaa halisi hapo?.
 
Naunga mkono hoja no3,4,5,6,7!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…