Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inasikitisha sana kwa kweli.
Sina uhakika kama huwa wanapita mitaani au mitandaoni walau kusikia maoni ya walio wengi kuwahusu.
Raia wengi wamechoshwa na hali ilivyo.
Wengi wanataka mabadiliko kamili.
Na hayo mabadiliko hayawezi kuletwa na hii Regime ambayo tayari imeshindwa.
Emu nitajieni Nani tumchague awe Rais ili tuishi kwa raha na starehe zote kama Peponi.
 
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Hii katiba ni mbovu, haifai hata kidogo.

Najaribu kufikiri, kama Lowasa angeshinda 2015 akakutwa na umauti akiwa madarakani, yule mgombea mwenza wake leo ndiye angekuwa rais.
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Yeye mwenyewe wa ovyo
 
Back
Top Bottom