Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Unatuona wajinga eeeh.Mfanye maujinga yenu wenyewe uko na chama chenu mfu alafu uje kutaka kuhamisha goli kwa wengine.Hii danganyaneni wenyewe uko lumumba.
Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
 
Wapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche

Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima.

Je wewe hadithi yako ni ipi.?

Haki huinua Taifa.
Nimengi ya kusimulia la msingi ni kupungua kipato cha mtu mmoja mmoja wale wanaotumia akili za kuvukia barabara wataniambia nilikuwa napiga dili na napoteza muda mwingi kwenye kubeti, wakati hatasijui kubeti
 
Tanzania kuwa kama uraya au chato?[emoji1][emoji1][emoji1]
Ulaya siyo uraya.....

Asilimia kubwa naamini wachangiaji wengi sana ni wafuata upepo jitu kama ili unajiita tabutupu...unadhani una lipi la maono?. Kuwa kama ulaya nazo ni process msikalili na kukumbatia umasikin kuweni na nguvu ya uthubutu .
 
Ilo lipo wazi. Hata hawa MATAGA usione wanaimba na kusifu ukadhani mambo kwao yanaenda vizuri, ni vile wanapigania teuzi.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Uraya siyo ulaya[emoji1]
Ulaya siyo uraya.....

Asilimia kubwa naamini wachangiaji wengi sana ni wafuata upepo jitu kama ili unajiita tabutupu...unadhani una lipi la maono?. Kuwa kama ulaya nazo ni process msikalili na kukumbatia umasikin kuweni na nguvu ya uthubutu .
 
Haha Lisu bwana msanii sana,

Kuna binadamu anaweza mfuta machozi mwenzake??

Hapa duniani ni Utawala wa Sheria tu.

Usipofuata sheria unapoteza haki yako.

Mfano huwezi sema eti kwakua umefanya kazi kwa muda flani ndio uachwe hata kama umefoji vyeti.

Au kwakua umeshajenga ndani ya hifadhi ya barabara uachwe tu.
Wapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche

Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima.

Je wewe hadithi yako ni ipi.?

Haki huinua Taifa.

Ubungo na Kibamba vunja NYUMBA ZAO,

Mwanza MSIWAVUNJIE WALINIPIGIA KURA NYINGI.

HAPO USAWA UKO WAPI?
 
Ninachokiona JF na kampeni za jiwe vitu viwili tofauti, ni kama vile anasubiri kuapishwa tu! Na hii ni desturi ya wagombea uraisi wa CCM miaka nenda rudi kujimwambafai watashinda tu sababu ya system iliyowekwa kuwarudisha madarakani hata baada ya kuvurunda msimu wa 1.

Anyways watanzania ni waoga na ni mtaji tosha kwa CCM, sioni haja ya kujadili hili kila mtu apambane na hali yake sasa. Annual increment + 18% loan boarn returns isse phucking disaster kwa sie wafanyakazi.
 
Haha Lisu bwana msanii sana,

Kuna binadamu anaweza mfuta machozi mwenzake??

Hapa duniani ni Utawala wa Sheria tu.

Usipofuata sheria unapoteza haki yako.

Mfano huwezi sema eti kwakua umefanya kazi kwa muda flani ndio uachwe hata kama umefoji vyeti.

Au kwakua umeshajenga ndani ya hifadhi ya barabara uachwe tu.
Wale walioambiwa wasibomolewe Mwanza kisa walimpigia kura wao wapo juu ya sheria
 
Kuna binadamu anaweza mfuta machozi mwenzake??

Wewe unadhani kufuta machizi ni kutembea na lesso mkononi na kuanza kuwafuta watu machozi yanayotiririka kutoka machoni pao??!!🤣
 
Wewe unadhani kufuta machizi ni kutembea na lesso mkononi na kuanza kuwafuta watu machozi yanayotiririka kutoka machoni pao??!!🤣
Hakuna binadamu mwenye uwezo huo,

Msitudanganye.
 
Hakuna binadamu mwenye uwezo huo,

Msitudanganye.

Hata kufariji mtu mwenye shida ni kufuta machozi pia, Sio yule Mungu- mtu wenu eti anawaambia waathirika wa tetemeko; "kwani tetemeko limeletwa na serikari !!🤣 serikari haina shamba la kuwapeni chakura, msema kweri ni mpenzi wa Mungu". Halafu mbaya zaidi na rambirambi zao akala🤣
 
Back
Top Bottom