Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar