Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..

Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..
 
Kichaa katangaza hujuma dhidi ya wenye mawazo mbadala, wehu wakatekeleza, na sasa vibaraka wanashangilia.

Hii Fasihi yako uliyoitumia Inafikirisha Sana. Wewe Jamaa you're good upstairs..
 
Hiyo CCM ni mali ya hao hao wazungu kupitia jamaa fulani pale Italy, wanapoona maslahi yao yanateteleka au kuna mtu anayabana na kuyahoji basi humtingisha kupitia the so called wapinzani wanaohitajo support kutoka kwao.
 
Wazungu ni wakimbizi acha ufala. Huoni walivyo muassassinate gadafi kwa kuwa alikuwa anawanyanyasa sana wapinzani. Jpm ameua na kupiga risasi wapinzani na yeye wazungu wakatusaidia kumfyekelea mbali. Hivyo wazungu wanamsaada sana . Wazungu wasingekuwepo tungechinjana sana mana miafrika hatuna akili lazima tuwe regulated ili tuishi kwa kuheshimiana.
 
acha ujinga wewe Kama nikijana umerithi kwa ndingi yako sijui yeye kijijini kwenu atakuwaje huko
 
🤣🤣Sasa David Mc Alister anahusika nini na SOVEREIGNTY ya Tanzania?!!!!!

Ujinga mwingine abaki nao huyu mzururaji anayetukuza WAZUNGU NA MAMBO YAO YOTE......

Mzungu alimtumia Saddam Hussein na Gaddafi na mwishowe wote ni mashuhuda kwa kilichotokea......Sasa Tundu Lissu atafika lini huko?!!!!

Dunia imejaa WANAHARAKATI.....maajabu hakuna.....🤣🤣🤣
 
Kesho utasikia EU waimiminia misaada Tanzania.

Wazungu siyo wajinga wanajua tofauti ya mbwa na mwenye mbwa kwa sababu wao ni rafiki sana wa mbwa majumbani mwao!
Wewe ndo mbwa mkubwa unasubiria misaada ,kenge liselo namakengeza wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…