Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

hii ndomana kila mama akikanyaga sehemu muhimu anakutana na Hali ngumu

Chadema international ni shida mwamba anaupiga kwelikweli
 
Mr belgiji kakenua meno utafikiri kamuona Mungu.

Hivi kinachofanya Lisu aendelee kukaa kwa beberu ni nini wakati mbaya wake alishakufa?
 
Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..

Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..

..mabadiliko ya Afrika Kusini yalipatikana baada ya mabeberu kupunguza kwa kiwango kikubwa support yao kwa utawala wa makaburu.
 
[emoji1787][emoji1787]Sasa David Mc Alister anahusika nini na SOVEREIGNTY ya Tanzania?!!!!!

Ujinga mwingine abaki nao huyu mzururaji anayetukuza WAZUNGU NA MAMBO YAO YOTE......

Mzungu alimtumia Saddam Hussein na Gaddafi na mwishowe wote ni mashuhuda kwa kilichotokea......Sasa Tundu Lissu atafika lini huko?!!!!

Dunia imejaa WANAHARAKATI.....maajabu hakuna.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huelewi lolote kaa kimya na umburula wako
 
🤣🤣Sasa David Mc Alister anahusika nini na SOVEREIGNTY ya Tanzania?!!!!!

Ujinga mwingine abaki nao huyu mzururaji anayetukuza WAZUNGU NA MAMBO YAO YOTE......

Mzungu alimtumia Saddam Hussein na Gaddafi na mwishowe wote ni mashuhuda kwa kilichotokea......Sasa Tundu Lissu atafika lini huko?!!!!

Dunia imejaa WANAHARAKATI.....maajabu hakuna.....🤣🤣🤣
Creche tuliza midabwada
 
Wazungu ni wakimbizi acha ufala. Huoni walivyo muassassinate gadafi kwa kuwa alikuwa anawanyanyasa sana wapinzani. Jpm ameua na kupiga risasi wapinzani na yeye wazungu wakatusaidia kumfyekelea mbali. Hivyo wazungu wanamsaada sana . Wazungu wasingekuwepo tungechinjana sana mana miafrika hatuna akili lazima tuwe regulated ili tuishi kwa kuheshimiana.
Unaonaje sasa democrasia iliyopo Libya?

Nyie ndio mkimuona mzungu mnazuzuka kabisa
 
Huyu kijana ningeomba psychologist wakamsaidia. Maaana anatankatanka mnooo
Kama walivyokuwa wanatanga tanga akina Palamagamba na Sasa Mulamula anaenda kukusanya akina Mange Kimamboi eti ndi Diaspora ya kumpokea Rais.

Mmetuaibisha sana kama Nchi.
 
Unaonaje sasa democrasia iliyopo Libya?

Nyie ndio mkimuona mzungu mnazuzuka kabiAfadhari fadh

Unaonaje sasa democrasia iliyopo Libya?

Nyie ndio mkimuona mzungu mnazuzuka kabisa
Afadhari kuliko kipindi kile ambacho ukiona umwitwa ikulu unaenda kutandikwa risasi. Waafrika tuna matatizo bora wazungu watutawale tena. Huwa najiuliza kitendo cha jpm kutaka kumuua lisu kisa eti ni mkosoaji mkuu. Sasa hapo ndo utaona viongozi wa kiafrika ni madictator wote bora wauawe wote. takayeweza kuliua limseven nitashinda kanisani aiku hiyo namshukuru mungu na kutoa sadaka. Hayaangalia samia naye anataka kumuulia mbowe jela.
 
Back
Top Bottom