Paul Albert
Kazi anayo
Katika mahojiano kadhaa ya lisu kuna mahali alisema kwanini Sabaya pekee yake
Wakati kuna mashetani kumzidi yapo uraiani kuna ajenda gani
Akaulizwa mfano wa mashetani hayo akamtaja Makonda
Huwenda kwa sasa Makonda akawa na ulinzi kutoka kwa wakubwa zake lakini kama kweli kuna siku katiba mpya itapatikana ile ambayo watu wanahitaji basi Makonda akimbie hii nchi kwa sababu maisha yake yaliyobaki atamalizia jela
Lisu anasema haki yake ni lazima ipatikane hata kama yeye akifa basi watoto wake wataidai
Ni maana kwamba kupitia katiba ndiyo upo urahisi wa kupata haki kwahiyo kama akifa kabla ya kupatikana katiba
Basi siku moja lazima itapatikana na kupitia hiyo watoto wake watadai haki ya baba yao