Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Katiba ni sheria mama na kuna usemi wanasheria huwa wanasema “The law does not act retrospective”.
Ikitungwa itaanzia hapo ya nyuma hayahusiki so Makonda ataendelea kupeta tu.
Hata kama hatupendi ndio ukweli uko hivyo.
Kwa sheria ya sasa Makonda anashtakika vizuri tu

Lakini katiba mpya inahusisha uhuru wa mahakama pia na watu kupunguzwa nguvu naongelea watu hao ambao wanaleta ugumu wa kumshtaki Makonda

Hakuna ambaye atakuwa na uwezo wa kuzuia wahalifu wasiwajibishwe
 
Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Halafu huyo wanayemuona anajua sheria, mimi sidhani kama anajua, akifundishwa na wanasheria wa hapa hapa nchini. Kipi cha ajabu na yeye siyo mwanasheria wa kwanza hapa nchini.
 
Back
Top Bottom