MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wanaopambana nae wawe Makini mno kwani kuna mahala anataka Kuwaingiza katika 18 zake ili apate Kianzio cha Kudili nao mazima Kisheria.Kuna mtu atabambikwa kesi hii, mbuzi wa kafara anatafutwa
RPC huyo amshukuru mno huyo aliyemshauri kufanya hivyo ( Kumkwepa ) kwani akimkabidhi tu hilo Gari atakuwa ameshajiingiza Mwenyewe Mtegoni na Mamlaka yake nayo itakuwa Matatizoni.Ndio maana RPC aliiacha kukutana naye, stay tuned
Hamna kitu hapo, kwani ni mara ya kwanza polisi kuachia gari lilipatwa na uhalifu?Wanaopambana nae wawe Makini mno kwani kuna mahala anataka Kuwaingiza katika 18 zake ili apate Kianzio cha Kudili nao mazima Kisheria.
Huna Akili.Hamna kitu hapo, kwani ni mara ya kwanza polisi kuachia gari lilipatwa na uhalifu?
Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.Huna Akili.
Huna Akili.Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Na Mtego wa Tundu Lissu ndiyo uko hapo hapo. Anajua fika kuwa hawezi Kulipata kutokana na Mazingira na Mamlaka anayodili nayo ila nae anafanya Makusudi huku akiwabananisha ili Wajichanganye wenyewe wampe Points za Ushindi na Wao Waumbuke na Ukweli mzima wa Tukio uaminike kwa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa ambao bado Kimya Kimya wanalifuatilia japo Watu wanadhani limeisha mazima.Lile gari kupatikana sio rahisi, na huenda washaiba kila kitu
Na ndiyo maana nikasema kuna Mtego mkubwa hapa Unaandaliwa na Wakijichanganya tu anawamaliza na Wataumbuka vibaya sana.Paul Albert
Kazi anayo
Katika mahojiano kadhaa ya lisu kuna mahali alisema kwanini Sabaya pekee yake
Wakati kuna mashetani kumzidi yapo uraiani kuna ajenda gani
Akaulizwa mfano wa mashetani hayo akamtaja Makonda
Huwenda kwa sasa Makonda akawa na ulinzi kutoka kwa wakubwa zake lakini kama kweli kuna siku katiba mpya itapatikana ile ambayo watu wanahitaji basi Makonda akimbie hii nchi kwa sababu maisha yake yaliyobaki atamalizia jela
Lisu anasema haki yake ni lazima ipatikane hata kama yeye akifa basi watoto wake wataidai
Ni maana kwamba kupitia katiba ndiyo upo urahisi wa kupata haki kwahiyo kama akifa kabla ya kupatikana katiba
Basi siku moja lazima itapatikana na kupitia hiyo watoto wake watadai haki ya baba yao
Inawezekana anataarifa ya kwamba gari limekongoloka ndio mana cha kwanza anasema anataka kuliona then atafata taratibu ili aweze kukabidhiwa.Lile gari kupatikana sio rahisi, na huenda washaiba kila kitu
Lissu anapaswa kupewa gari lake , habari ya sijui mitego labda wategane wenyewe , yeye anachotaka ni gari ambalo ni mali yake , kama vile bodaboda wanavyochukua pikipiki zao walizopata nazo ajali au zilizokamatwa kwenye matukioRPC huyo amshukuru mno huyo aliyemshauri kufanya hivyo ( Kumkwepa ) kwani akimkabidhi tu hilo Gari atakuwa ameshajiingiza Mwenyewe Mtegoni na Mamlaka yake nayo itakuwa Matatizoni.
Wawe nae makini mno katika hili la kudai / kulidai Gari lake hilo alilopata nalo Shambulio kwani Tundu Lissu siyo Ngumbaru ( Mjinga ) kama pengine Wanavyodhani.
Movie ndiyo Kwanza linaanza sasa.
Pia kwenye maongezi yake anasisitiza kwamba gari ilikuwa mpya.Na ndiyo maana nikasema kuna Mtego mkubwa hapa Unaandaliwa na Wakijichanganya tu anawamaliza na Wataumbuka vibaya sana.