Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Katiba ni sheria mama na kuna usemi wanasheria huwa wanasema “The law does not act retrospective”.
Ikitungwa itaanzia hapo ya nyuma hayahusiki so Makonda ataendelea kupeta tu.
Hata kama hatupendi ndio ukweli uko hivyo.
Kwa sheria ya sasa Makonda anashtakika vizuri tu

Lakini katiba mpya inahusisha uhuru wa mahakama pia na watu kupunguzwa nguvu naongelea watu hao ambao wanaleta ugumu wa kumshtaki Makonda

Hakuna ambaye atakuwa na uwezo wa kuzuia wahalifu wasiwajibishwe
 
Halafu huyo wanayemuona anajua sheria, mimi sidhani kama anajua, akifundishwa na wanasheria wa hapa hapa nchini. Kipi cha ajabu na yeye siyo mwanasheria wa kwanza hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…