Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Yes! Kaa Midomoni mwao...Kisha Akilini Mwisho Moyoni....Kijana Hapotei...Japo jana Arusha tulikuwa na Mkesha mkubwa sana. Ila ndo hivyo sasa kila mtu ashinde mechi zake.
 
Huyu ndiye mgombea mwenye nia ,sabb na hoja za kugombea uenyekiti, yule mwingine hana hata hoja moja...anasubiri tu kurubuni wajumbe machawa yake wampigie kura tarehe 21/1.
Ila wanachama wa kawaida kama katiba ingeturuhusu kupiga kura angeambulia kura za aibu mlafi mmoja wa madaraka makengeza!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…