Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Naomba katika Mazungumzo hayo..aseme wazi kwamba Anaondoka CHADEMA...
 
Huyu ndiye mgombea mwenye nia ,sabb na hoja za kugombea uenyekiti, yule mwingine hana hata hoja moja...anasubiri tu kurubuni wajumbe machawa yake wampigie kura tarehe 21/1.
Ila wanachama wa kawaida kama katiba ingeturuhusu kupiga kura angeambulia kura za aibu mlafi mmoja wa madaraka makengeza!!.
Hata Mbowe alikuwa hivyo, hata Lytonga alikuwa hivyo, hata Maalim alikuwa namna hiyo, wengi walikuwa kama unavyomsoma Lissu leo. Ila kuna namna ccm wanafanya, watakaa madarakani milele kama sio nguvu ya mwananchi, hawa individuals walishashindwa mda sana, hawajaweza kutengeneza mifumo inayoweza kumtoa ccm kwenye power.
 
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah
Msiache kusikiliza hotuba.
nitachek recorded kwasabb ya majukumu na pilikapilika za leo mwaka mpya,

hata hivyo,
kisiasa kuna observation muhimu kadhaa zinazoweza kukupa uelekeo wa nini atazunguzia huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kadiri ya hilo tangazo la mkutano,

mathalani kupunguzwa na kuondolewa kabisa kwa baadhi ya features za utambulisho wa chama na baadhi ya rangi za chadema, ukilinganisha na matangazo ya press conference zingine alizokua akiitisha huyo kibaraka, hata kama zilihusu mambo yake binafsi, but tangazo zake zote zilisheheni rangi na features za Chadema. Kulikoni hili halina features za Chadema?

Nadhani ni wazi Kibaraka anakwenda kujiengua rasmi chadema au anakwenda kuongeza masharti ya uchuguzi uweje, ili akubali matokeo..

Hata hivyo,
kwa sehemu kubwa atamjibu Wenje na kufanya hotuba yake iwe kama mipasho na makelele tu kama ilivyo kawaida ya mdomo wake.

Infact,
chama anachoelekea kina rangi ambazo zinaonekana kwenye tangazo 🐒
 
Back
Top Bottom