Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Domo kubwa kuliko Akili linakuja lenyewe kujidhalilisha mbele za watu mtu kaaanza kukamua wananchi mapema eti etembelee Shangingi uyu mtu mungu atuepushie uyu akiwa kiongozi ata wa chama tu kazi ya michongo pale Chadema itashamili nyumbu Watakamuliwa mifukoni kama kwa Mwamposa.. jitu linanjaa asubui asubui ikifika mchana uyu si atameza watu.!!
 
Yaani ni mwendo wa ulalo ulalo hadi Sultan Mbowe apate kiharusi safari hii
Dakika za lala salama Sultan mbowe anaweka mpira kwapani na kukwapua kombe toka meza kuu halafu nduukii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Labda anahutubia Taifa la Nyumbu wa Serengeti!!
Mbona aliyehutubia taifa la nyumbu anafahamika! Ni yule wa jana saa 3 usiku.
Tulikuwa bar jana, meneja wa bar akaweka Azam TV channel yenye hotuba basi ilisikika sauti kubwa ya wengi "ONDOAAA, ONDOAA"
na meneja akasema sauti ya wengi sauti ya Mungu, naondoa.
Nilibaki kucheka tuu
 
Back
Top Bottom