NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 425
- 609
Yeye ni nani ahutubie taifa?Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ni nani ahutubie taifa?Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni
HahahaaaaaLisu kuhutubia TAIFA Hilo neno kubwa sana!yaani sijajua anahutubia kama nani yaani!!!
Mtasababisha maandalizi ambayo hayakupangwa!!
Kama nataka madini nitayafata huko mwadui!Msikilize Lissu wewe zee la Lwanzari upate madini.
Mkuu Yohanne Mbatizaji johnthebaptist , nilipoona press ya Lissu ni leo, nikafarijika sana!. Sio tuu kauli huumba, bali hata ushauri huumba, ule ushauri wangu wa jana, ukaumba kuisogezea leo!. Sasa kazi kubwa mbele yetu ni kutumia nguvu ya ushauri umba, kawashauri wale manyumbu, kuacha unyumbu, tarehe 21 wachague chuma cha pua cha kuwaingiza ikulu na sio kuendelea kuchagua mlenda!.Pascal Mayalla alisharuri hotuba ya Lisu isigongane na ya Amiri Jeshi mkuu 🐼
Tushaamua kwamba ye ni mgombea wa nccr mageuzi by 2025!P
Mkuu Yohanne Mbatizaji johnthebaptist , nilipoona press ya Lissu ni leo, nikafarijika sana!. Sio tuu kauli huumba, bali hata ushauri huumba, ule ushauri wangu wa jana, ukaumba kuisogezea leo!. Sasa kazi kubwa mbele yetu ni kutumia nguvu ya ushauri umba, kawashauri wale manyumbu, kuacha unyumbu, tarehe 21 wachague chuma cha pua cha kuwaingiza ikulu na sio kuendelea kuchagua mlenda!.
Happy New Year!
P
Ambao hatuna uwezo wa kung'amua unatusaidiaje?Out of the topic.....
Kwanini amechagua kuhutumia tarehe 1 January 2025??
Kwa wenye uwezo wa kung'amua hili washapata majibu...😊
Niliota kitu kigumu kuhusu Mbowe na Lissu.Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
Endelea kusubiri muda mkuuAmbao hatuna uwezo wa kung'amua unatusaidiaje?
Tuwe watulivuOut of the topic.....
Kwanini amechagua kuhutumia tarehe 1 January 2025??
Kwa wenye uwezo wa kung'amua hili washapata majibu...😊
Kuwa mke wake wewe maana Una wivu sanaUmewaachia wadachi mke,Xmas na Mwaka mpya, unatarajia usiwe na msongo wa mawazo?
Huyo ni nyumbu wa Sultan MboweNa ulivyo bwege utaungana na nyumbu kumsikiliza.
Raia wa taifa hili hajaangaika na hiyo hotuba ya jana, ni kama vile katibu wa kata alikua anahutubiaAnahutubia wafuasi wake taifa limehutubiwa trh 31/12/2024!
Kujitoa hapana tunaenda nao mpaka mwisho ili kuonyesha madudu yaoUchaguzi umepangwa nafikiri ajitoe tuone wanaishia wapi hii ikitokea chadema,kwa heri
Afu unakuta ni tube cahnnel inarusha tena mojaLisu kuhutubia TAIFA Hilo neno kubwa sana!yaani sijajua anahutubia kama nani yaani!!!
Mtasababisha maandalizi ambayo hayakupangwa!!
Link pleaseHabari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.