Anashtaki waliotaka kumuua sio serikali, hata kama umefaulu ngazi ya juu kabisa ya uchawa acha kupotosha!
 
Umenikumbusha ubaya ubwera
 
Tundu Lissu anaishitaki nchi au anaishitaki serikali? USSR, naomba ujifunze kutofautisha kati ya nchi na serikali.

Kinyume na hapo basi ijulikane kwamba dhumuni lako ni kupotosha umma, kumchafua Tundu Lissu, na kumchonganisha na wananchi wa Tanzania
Kwa akili zako ndogo unadhani hiyo ni serikali ya kenya, serikali ikifirisika nchi inabaki na nn hasa

USSR
 
series nyengine hii...😅
Kuna tofauti ya Nchi na serikali! Tuna Nchi nzuri sana yenye serikali ya kishetani! wote tungependa hili zimwi liitwalo serikali liondoshwe na kuadabishwa ikiwezekana wafe wote! Wauaji, watekaji, wafiraji majambazi hayana faida bali hasara tu!! Go lissu GOOO
 
mwacheni adai haki panapostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…