Sikufahamu kuwa ukoo chini kiasi hiki katika uelewa wako.Serikali haiwezi kukaa tu eti isubiri sheria kuna vitu vyengine vinamuda mchache sana yani taarifa zake mnatakiwa mzipate hata within 24 hours halafu ni vitu nyeti mno!. sasa kalisha kende usubiri huo muda upite ati unasubiri sheria!.. likitokea lakutokea haohao wananchi itaona serikali haina uwajibikaji!.
Kumbe unajisemea tu mambo usiyo kuwa hata na chembe ndogo ya ufahamu juu yake; halafu unakija humu JF kupotosha watu kana kwamba wewe ndiye mjuaji mkuu.
Haya ndiyo matatizo makubwa tukiyo nayo katika hizi serikali zetu mbovu hizi. Watu wa aina yako, wasiojuwa kitu ndio mmeshikilia nafasi za maamuzi yanayo husu maisha ya wananchi. Kila jambo mnafanya nje ya sheria, kwa kujiapiza nyinyi mnajuwa kila kitu; kuliko sheria inavyo elekeza.