Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Inawezekana ni kakikundi fulani tu ndani ya TIGO ndio walishirikiana na hao Majambazi waliokuwa wanafuatilia nyendo za Lissu.

Hakuna ugumu wowote wa Serikali Kufuatilia nyendo za Mbunge inapolazimu.

Lisu alikuwa anaishi kwenye nyumba ya Serikali sasa hadi uhangaike na akina TIGO kumfuatilia? 🐼

Tamthiliya ya Jumong ina mafundisho yote haya.

Ahsanteni sana 😄
 
Wewe jamaa hufikiri kabisa, Mfumo wa Serikali na Mitandao nani anaweza kutrak kirahisi?

Tracking inategemea sana acces kwenye minara na Watu wa mitandao ndio wana access ya 100% kwenye minara...
 
Hapa Tanzania ukihitaji taarifa za mtu wako wa karibu mfano mke/mume/mfanyakazi mwenzio ..... unazipata kutoka kampuni ya simu kiulaini sana
 
Inawezekana ni kakikundi fulani tu ndani ya TIGO ndio walishirikiana na hao Majambazi waliokuwa wanafuatilia nyendo za Lisu

Hakuna ugumu wowote wa Serikali Kufuatilia nyendo za Mbunge inapolazimu

Lisu alikuwa anaishi kwenye nyumba ya Serikali sasa hadi uhangaike na akina TIGO kumfuatilia? 🐼

Tamthiliya ya Jumong ina mafundisho yote haya

Ahsanteni sana 😄
Nchi haiendeshwi kama tamthilia
Uhai wa mtu haufanyiwi maigizo.

Hizi thread zenu za kijinga zinazidi kuamsha hasira zetu. Ninafahamu namna ambavyo dola inavyoingilia mawasiliano ya raia kupitia makampuni ya simu.

Next time kabla haujapost tafakari kwa kina maana unatia aibu
 
Mfumo wa serikali kupitia TCRA ? kazi yakutrack watu sio rahisi kwa watu hawa.wangemtrack Mbowe na kujua yuko wapi siku ya kuamkia maandamano.
 
Hii hoja huenda ikawa nyepesi na umeileta kirahisi sanaaa ila ukweli ni kwamba inafikirisha na ukiitizama Kwa jicho la ziada inakupa majibu tata kidogo....

Yalishawahi kudukuliwa mawasiliano ya NAPE na January ni njia gani ilitumika na ikashindikana Kwa LISSU?

NOTE:
Kama unajijua ulishawahi kutumwa kufatilia mawasiliano ya jamaa TIGO jua uliwekewa mtego mana yanayotokea Leo yote yaliratibiwa kipindi hicho so ni muendelezo tu Ile Sinema na huenda muhusika halisi akabaki msafi pasi doa.

Bado nawaza ila muda ni Rafiki mzuri.
 
Nani wenye uwezo huo Tanzania ambaye atapata taarifa za mtu pasipo kushirikiana na mitandao ya simu.hawahawa ma professor njaa watapata wapi maarifa hayo?serikali wanachoweza ni kuteka tu na kuiba matokeo ya kura
 
Hapa Tanzania ukihitaji taarifa za mtu wako wa karibu mfano mke/mume/mfanyakazi mwenzio ..... unazipata kutoka kampuni ya simu kiulaini sana
Kuna jamaa walimprintia mkeka wa txt za mkewe na lizee fulani hivi lina hela.

Siku ile yule mwanamke hakunaa rangi aliacha kuona kwa mabanzi aliyopigwa.

Halafu jamaa alifanya kama suprise, kachukua mkeka kafika kautupia mezani pwaaaa!!!
 
Nchi haiendeshwi kama tamthilia
Uhai wa mtu haufanyiwi maigizo.

Hizi thread zenu za kijinga zinazidi kuamsha hasira zetu. Ninafahamu namna ambavyo dola inavyoingilia mawasiliano ya raia kupitia makampuni ya simu.

Next time kabla haujapost tafakari kwa kina maana unatia aibu
Wewe Tutusa Kwenye Mawasiliano hao TIGO ni Watoto wadogo mno 🐼
 
Mfumo wa serikali kupitia TCRA ? kazi yakutrack watu sio rahisi kwa watu hawa.wangemtrack Mbowe na kujua yuko wapi siku ya kuamkia maandamano.
Mbowe huyu huyu aliyetoka Gerezani na kwenda direct Ikulu

Watanzania mbona mko mabwege sana 🐼
 
Back
Top Bottom