zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Yes, kama wana mifumo nje ya hapo mbona walishindwa mkamata Kigogo2014 hadi wakatuma complaints 1000 ndio akaunti ikafungwa na twitter kwa muda. Likewise, kuna jf user anaitwa "fuhrer" alisakwa ila walishindwa mtrack hadi wakamkamata Melo awape taarifa za user yule. Same to kabendera ilibidi vodacom wampigie na kutoa location ya nyumba yake!! Hao TISS walikuwa wapi?Alifuatilia kupitia tigo?
Mbona mnaifanya JF kuonekana kuwa jamvi la vilaza?
So hao jamaa hawana hizo akili au vifaa unavyowaza ni lazima watumie secondary sources mfano usajili wa mita za luku au location ya mnara ndio wajue ulipo.