Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Haina haja ya kuwa na akili timamu kama kuona Tangu Makamba kutimuliwa, Samia amekuwa akishutumiwa na kusumbuliwa na Watu wale wale ambao walimsumbua Magufuli.

Makamba and Co. Wanatumia nguvu za media kumchafua huyu mama, unfortunately mama wa Watu si mwanasiasa wa mikikimikiki
Acha habari zako na wewe, unamchafuje aliyejipaka kinyesi wakati keshachafuka.

Kama hapendi mikikimikiki kwa nini kawateka akina Soka Sativa? Kwa nini wamemuua Ali Kibao halafu anasema kifo cha kawaida? Siyo yeye aliyesema wanafanya drama na kujiteka wwnyewe
 
au sio! hapo wanajisumbua tu hao wazungu wanawahadaa watu wasio na akili ipo hivi...

Hakuna serikali iwe inamamlaka za ulinzi(intelijensia),halafu isifatilie taarifa, taarifa ni muhimu ktk namna yoyote ile na moja kati ya vyanzo vya taarifa ni mitandao ya mawasiliano na mitandao yakijamii,,,
Ignorance is eating Africa. Hili swali niliwahi kupata alama , 💯 %
 
au sio! hapo wanajisumbua tu hao wazungu wanawahadaa watu wasio na akili ipo hivi...

Hakuna serikali iwe inamamlaka za ulinzi(intelijensia),halafu isifatilie taarifa, taarifa ni muhimu ktk namna yoyote ile na moja kati ya vyanzo vya taarifa ni mitandao ya mawasiliano na mitandao yakijamii.
...
Basi,na Mungu wetu alivyo mkuu , akaamua kesi, leo Victim X bado yupo....👏👏👏
 
..Hili suala SERIKALI imejaribu kulipotezea lakini limegoma kupotea au kusahaulika.

..Na taarifa zilizotoka ktk viungo vya mahakama huko Uingereza kuhusu serikali na Tigo kushirikiana kumdukua Lissu zinaiaibisha nchi yetu.

..Raisi Samia Suluhu achukue maamuzi magumu kulinda HESHIMA ya Tanzania kwa kuwafikisha mahakamani waliohusika kumdukua, na baadae kumshambulia, Tundu Antipas Lissu " Simba wa Tanganyika. "

..Tanzania ni kubwa kuliko genge la wasiojulikana.
 
haha! kama mimi nina fix jana mmiliki wa telegram ameachiwa baada yakukubali kuwa anatoa taarifa za watumiaji wa telegram!, takribani wiki 3 telegram ilifungiwa ikawa huwezi kutumia bila vpn haya kama unayo fungua sasahivi bila vpn uone kama kitu hakifanyi kazi...
Kampuni ya Apple,inayotengeneza simu za iphone,miaka michache iliyopita iliigomea F.B.I kulifungua lock simu fulani aina ya iphone iliyokuwa imedondishwa na kijana mmoja aliyekuwa na asili ya kiarabu aliyekuwa anashukiwa kuwa ni gaidi ila alofanikiwa kuikimbia nchi ya Marekani,Apple waligoma katakata kui unlock simu hiyo ambayo F.B.I wenyewe walikuwa wamechemka kulifungua lock yake,Apple walikataa huku wakilondwa na Sheria za kulinda faragha za wateja wao.
 
20240925_222509.jpg
 
Back
Top Bottom