Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
"Tayari nimewasiliana na Mwanasheria wangu Bob Amsterdam afungue kesi ya madai kwa kampuni ya Millicom (Tigo) na serikali ya Tanzania.

Tumeamua tufungue kesi kwenye mahakama ya kimataifa kwa sababu Rostam Aziz alisema Jaji anaweza kupigiwa simu na akapindisha haki. Kwahiyo tutafungua kesi kwenye mahakama ya kimataifa mahali ambapo Serikali haiwezi kupiga simu kwa Jaji.

Mahakama ambazo zina mamlaka ya kuzuia ndege zetu huko zinapoporuka, hadi nilipwe fidia. Bado tunajadili kiasi cha madai kutokana na madhara yaliyonipata, lakini tutadai mapesa mengi sana." Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti Chadema.!
 
Mara tigo ilimsaidia Magufuli mara sijui tunataka tujue walioshiriki na waliowawezesha ,

Ilimradi tu mboyoyo ziwe mingi na amtaje Magufuli kama kawaida yake.
 
Watz wengi ni wafuata upepo tu wangejiuliza tu kwanini Snowden alikimbia baada ya kutoa siri za Marekani kuwafuatilia viongozi wa EU kupitia mitandao ya mawasiliano!!?
Au yule Yukashenko alichokumbana nacho kwa Russia.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwahiyo serikali ilitaka taarifa za Lissu ili Imuongezee mshahara? Ujue unaongea na watu wazima sio watoto wa UVCCM.
kuna video fulani ya jiwe akiwa ikulu nafikiri wakati ule wa sakata la barrick kuna maneno alizungumza nafikiri unaweza ukapata mwanga ukiiangalia na ukiwa makini zaidi itajibu swali lako pia...😂
 
Hii kesi Nape na makamba wanaipenda sana kwasababu wabaya wao wakina Makonda hawana pa kukimbilia tena na kibaya zaidi inaelekea wale vijana wapigaji risasi wanajulikana sasa na team ya Lissu imeshapewa majina. Tukumbuke hii wizara ya mawasiliano ilikuwa chini ya Nape na yuko tayari kumsaidia Lissu inasemekana
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-065957.jpg
    Screenshot_20240925-065957.jpg
    378.1 KB · Views: 4
Hii kesi Nape na makamba wanaipenda sana kwasababu wabaya wao wakina Makonda hawana pa kukimbilia tena na kibaya zaidi inaelekea wale vijana wapigaji risasi wanajulikana sasa na team ya Lissu imeshapewa majina. Tukumbuke hii wizara ya mawasiliano ilikuwa chini ya Nape na yuko tayari kumsaidia Lissu inasemekana
Hii nayo ni kesi mpya! Ile ya Lissu Vs Tigo haijaanza sasa wewe unatujuza nyingine, haya tusubiri ipi itashinda.
 
Halafu juzi kati yule wa A Town anajidai kushusha maombi ya kuwalaani watumishi wa Mungu walio toa matamko ya kukemea utekaji na mauaji akiwaita watumishi wa Mungu feki ilihali yeye kumbe ana tuhuma nzito za kuongoza wasiojulikana.
Hao vijana wauaji walioshirikiana na kiongozi wa wauaji watajwe tu,. Mambo yasiwe mengi
 
Haina haja ya kuwa na akili timamu kama kuona Tangu Makamba kutimuliwa, Samia amekuwa akishutumiwa na kusumbuliwa na Watu wale wale ambao walimsumbua Magufuli.

Makamba and Co. Wanatumia nguvu za media kumchafua huyu mama, unfortunately mama wa Watu si mwanasiasa wa mikikimikiki
 
Back
Top Bottom