Tetesi: Tundu Lissu kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA

Mbowe k-vant hajawai simamia jambo na likawa.anafanya mambo yake hovyo hovyo tu.
kikubwa muheshimiwa Lissu aombe radhi watanzania arudi nyumbani kumenoga aachane na siasa za kihuni za Mbowe.
kwanza Lissu anafaa kuwa balozi wa Tanzania nchini ubelgiji.Inshallah.
Balozi was mashoga!
 
Hata yuda alikuwa mwanafunzi bora kabla hajamsaliti Yesu
Lissu alirubuniwa na Mabeberu kwa kujidanganya kuwa ni Mwanasheria ataweza kuwatetea Mabeberu wapore madini yetu kwa kupewa mamilion

Alikuwa anawapokea pale KIA wanaenda kujifungia ili watuhujumu
Huu ndiyo mfano wa wenye matokeo ya division four za 45...
Lissu alichokuwa anafanya mwenye akili hawezi kubeza,Lissu alitaka Kama nchi kufumua na kuziba misingi ya watu kujiamulia kuuza rasirimali zetu kiholela!
 
Alikuwa anajaziwa dola benki ili kuwatetea Mabeberu watuibie madini
Huu ndiyo mfano wa wenye matokeo ya division four za 45...
Lissu alichokuwa anafanya mwenye akili hawezi kubeza,Lissu alitaka Kama nchi kufumua na kuziba misingi ya watu kujiamulia kuuza rasirimali zetu kiholela!
 
Sawa mchepuko wake Lissu tumesikia!
Wakuu mambo si shwari ndani ya Chadema , Kuna mnyukano mkali unaendelea chini kwa chini toka mkanda wa maongezi uvuje uliokuwa unam mock Lissu.

Sasa ni siku ya nne ndugu Lissu anashauriwa na wanafamilia na marafiki wasiokuwa wanasiasa ajiondoe kwenye mchujo wakiamini tayari umeingia dosari ila bwana mkubwa Lissu hajakubaliana nao bado akiamini bado ana nafasi.

Kwa mujibu wa wanyetishaji kamanda anataka Mbowe ajitoe kwenye mchakato kwani anaamini Mbowe ananguvu sana hata hawezi kumshinda
Kufanya hivyo ndio anaweza kurudi nyumbani kushiriki kumpata mgombea wa CHADEMA.

Anasema kama Mbowe hajajitoa kwenye mchakato atachukua maamuzi mengine nadhani hapa atachukua maamuzi ya familia.

Kutokana na sintofahamu hii wazee wa chama wanaendelea na mashauriano.

Tutaendelea kukuletea taarfa kama zinazojiri.
 
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote

Mkuu sijaona shida kwenye taarifa hii ya mtoa mada! Otherwise kuna shida kati yenu
 
Wakuu mambo si shwari ndani ya Chadema , Kuna mnyukano mkali unaendelea chini kwa chini toka mkanda wa maongezi uvuje uliokuwa unam mock Lissu.

Sasa ni siku ya nne ndugu Lissu anashauriwa na wanafamilia na marafiki wasiokuwa wanasiasa ajiondoe kwenye mchujo wakiamini tayari umeingia dosari ila bwana mkubwa Lissu hajakubaliana nao bado akiamini bado ana nafasi.

Kwa mujibu wa wanyetishaji kamanda anataka Mbowe ajitoe kwenye mchakato kwani anaamini Mbowe ananguvu sana hata hawezi kumshinda
Kufanya hivyo ndio anaweza kurudi nyumbani kushiriki kumpata mgombea wa CHADEMA.

Anasema kama Mbowe hajajitoa kwenye mchakato atachukua maamuzi mengine nadhani hapa atachukua maamuzi ya familia.

Kutokana na sintofahamu hii wazee wa chama wanaendelea na mashauriano.

Tutaendelea kukuletea taarfa kama zinazojiri.
Member naye anachukua fomu ..mtake msitake
 
Back
Top Bottom