Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
A Pablo Picasso drawing of the SCENARIO! 😅🤡Iwapo Mbowe atajitoa kwa wakati huu,ataonekana kuwa amemuogopa Lissu.
Iwapo Mbowe ataingia hadi hatua za mwisho na kushindwa,ataonekana hana nguvu ndani ya Chadema kumshinda Lisu,na Mbowe akitangazwa kuwa mshindi,Lisu ataonekana ni mdhaifu katika harakati zake alizofanya ndani ya Chadema na itadaiwa kuwa ndani ya Chadema hakuna mwenye sauti zaidi ya Mbowe.
Mbowe akishindwa wakati huu na kuamua kurudi katika ubunge,na yeye ataonekana ni mtaka madaraka.
👊 ✌️✌️✌️💥