Tetesi: Tundu Lissu kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA

Tetesi: Tundu Lissu kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA

Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote
Huu wimbo wa buku 7 mmeuimba sana miaka 15 sasa tangu enzi za JK hivi hamuoni kama mlikaririshwa uongo wa mchana kweupe?
FB_IMG_1592137507510.jpeg
 
Iwapo Mbowe atajitoa kwa wakati huu,ataonekana kuwa amemuogopa Lissu.
Iwapo Mbowe ataingia hadi hatua za mwisho na kushindwa,ataonekana hana nguvu ndani ya Chadema kumshinda Lisu,na Mbowe akitangazwa kuwa mshindi,Lisu ataonekana ni mdhaifu katika harakati zake alizofanya ndani ya Chadema na itadaiwa kuwa ndani ya Chadema hakuna mwenye sauti zaidi ya Mbowe.
Mbowe akishindwa wakati huu na kuamua kurudi katika ubunge,na yeye ataonekana ni mtaka madaraka.
Kama mambo ni hayo, basi hakuna sababu kumpitisha yeyote kati ya lisu na mbowe! Mbowe na Lissu waendelee kusimamia majimbo yao, Hii ni kwa sababu hata Mbowe akipewa ridhaa ya chama , Kuchukua dola ni ngumu kutokana na kutokua na wanachama mashinani/Vijijini nk, Uchaguzi utafanyika lakini CHadema haitashinda ...kikubwa itaongeza viti katika Bunge
 
Usilolijua litakusumbua sana
Kama hujawahi kwenda JKT ni vigumu sana kujua tactics za kupambana vitani utaishia kuhisi
 
Wakuu mambo si shwari ndani ya Chadema , Kuna mnyukano mkali unaendelea chini kwa chini toka mkanda wa maongezi uvuje uliokuwa unam mock Lissu

Sasa ni siku ya nne ndugu Lissu anashauriwa na wanafamilia na marafiki wasiokuwa wanasiasa ajiondoe kwenye mchujo wakiamini tayari umeingia dosari ila bwana mkubwa Lissu hajakubaliana nao bado akiamini bado ana nafasi

Kwa mujibu wa wanyetishaji kamanda anataka Mbowe ajitoe kwenye mchakato kwani anaamini Mbowe ananguvu sana hata hawezi kumshinda
Kufanya hivyo ndio anaweza kurudi nyumbani kushiriki kumpata mgombea wa CHADEMA

Anasema kama Mbowe hajajitoa kwenye mchakato atachukua maamuzi mengine nadhani hapa atachukua maamuzi ya familia

Kutokana na sintofahamu hii wazee wa chama wanaendelea na mashauriano

Tutaendelea kukuletea taarfa kama zinazojiri
Wala sio mbowe simnamtafutia kesi?
 
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote

Bado mkuu tunakumbuka ubashiri timua zitto👉dr. Slaa👉Lissu? Baadaye akahisiwa hadi Mnyika.

Kupitia ule waraka ambao chama au wakina zitto wenyewe waliusuka.

Ngoja tusubiri hao viongozi wako wanajianika mdogomdogo mkuu amimi nakuambia.

Na awamu hii hii hawapo tayari kumtoa JPM.

MUDA NI MWALIMU.
 
Wakuu mambo si shwari ndani ya Chadema , Kuna mnyukano mkali unaendelea chini kwa chini toka mkanda wa maongezi uvuje uliokuwa unam mock Lissu

Sasa ni siku ya nne ndugu Lissu anashauriwa na wanafamilia na marafiki wasiokuwa wanasiasa ajiondoe kwenye mchujo wakiamini tayari umeingia dosari ila bwana mkubwa Lissu hajakubaliana nao bado akiamini bado ana nafasi

Kwa mujibu wa wanyetishaji kamanda anataka Mbowe ajitoe kwenye mchakato kwani anaamini Mbowe ananguvu sana hata hawezi kumshinda
Kufanya hivyo ndio anaweza kurudi nyumbani kushiriki kumpata mgombea wa CHADEMA

Anasema kama Mbowe hajajitoa kwenye mchakato atachukua maamuzi mengine nadhani hapa atachukua maamuzi ya familia

Kutokana na sintofahamu hii wazee wa chama wanaendelea na mashauriano

Tutaendelea kukuletea taarfa kama zinazojiri
[/QUOTE

Wewe Malaya wa Lumumba ,ya Chadema hayakusu
 
Kuna kila dalili huenda habari hii imepikwa, japo Mbowe kugombea Urais amefanya makosa makubwa kimkakati. Time will tell
 
Back
Top Bottom