Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #181
Kamanda kosoa kwa heshima na sio dhihakaJamii forum kumejaa mapopoma siku izi. Hizi unajua mgombea mwenza anapatikana vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda kosoa kwa heshima na sio dhihakaJamii forum kumejaa mapopoma siku izi. Hizi unajua mgombea mwenza anapatikana vipi?
Hongera kwa hilo!!Mimi niko simple, open, frank, straight, truthful na very transparent.
P
Ukiishi kwa assumption namna hiyo basi waweza kuweka akilini kuwa Siku moja Jiwe anaweza kuomba msamaha hadharani kuwa alituma watu wamuue Lissu.Mkuu hivi utajisikiaje kesho au kesho kutwa au wiki zijazo ukasikia Lisu yupo ACT? kwamba umesahau kabisa ya Lowasa? Hivi nyie watu wa chadema akili zenu mlikabidhi kwa mbowe jumla Jumla?
Kwanini huwa hamtafakari Lakin?
Nimekuelewa mkuu Pascal MayallaTetesi ndio kisingizio cha kutunga uongo na uzushi humu jf, Tundu Lissu hawezi kujiunga ACT kwa sababu ndani ya Chadema,
Lissu ni fahali, na ndani ya ACT Zitto ni fahali, mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Kuunga kwangu mkono sio kukubali tetesi hizi bali ni kumkubali mtoa mada. Mimi namkubali sana Kaka Wakudadavua na ninaamini kila asemacho.
P
Aisee kila nikikumbuka ulivyozungusha mikono kumshangilia Lowassa huku ukitamba na jina la "ulofa na pumbavu" nacheka sanaUkiishi kwa assumption namna hiyo basi waweza kuweka akilini kuwa Siku moja Jiwe anaweza kuomba msamaha hadharani kuwa alituma watu wamuue Lissu.
Mkuu naomba nikuulize kwa mara nyingine tenaMkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, ila duh...!. Kiukweli hii kali!.
Hata hivyo asante Kaka Wakudadavua, kutudadavulia hii, umetupakulia ikiwa ya moto moto, kwa jinsi unavyopata taarifa za ndani za vyama, nakuvulia kofia, Musiba atasubiri!, hongera unafanya kazi nzuri Kaka Wakudadavua. Asante tena. Na kiukweli nakukubali sana...basi tuu, kwa vile wewe ni Kaka, ungekuwa Dada, uvumilivu ungenishinda!.
P
Wafadhiliwe na ACACIA kwa maslahi ya taifa???Acacia wamesimamia na kufadhili vikao vya Kuwaunganisha Zitto na Lissu
Lissu, Zitto, Jussa, Seif Sharif, Nyalandu ni Muungano hatare kwa Maslah ya Taifa na Chama uangaliwe kwa macho makini
Dola isimame na Chadema dhidi ya ACT
ACT ni kirusi cha Mabeberu kinachonenepeshwa kwa kasi ya ajabu
Hili limetokea wapi?, mimi kumuunga mkono Kaka Wakudadavua ndio ipelekee wewe kuniuliza mimi Lissu amenikosea nini?!. Wapi nimekebehi?!Mkuu naomba nikuulize kwa mara nyingine tena
Lissu alikukosea nini?
Unakosa utu na huruma kwa huyu mtu kweli?!
Tuweke mbali siasa maana wanasiasa wanajijua wenyewe lakini ule ubinadamu tu huguswi katika moyo wako na kuona Lissu anahitaji huruma na upendo kuliko kumkebehi
Hii dunia inazunguka wandugu tusishangilie magumu ya wenzetu kesho yataweza kukufika
Unaamini hizi porojo
Sio vyema wala busara kuwapangia watu hisia ili walingane na wewe, hasa kwenye siasa. Binadamu tuko tofauti kiasili.Mkuu naomba nikuulize kwa mara nyingine tena
Lissu alikukosea nini?
Unakosa utu na huruma kwa huyu mtu kweli?!
Tuweke mbali siasa maana wanasiasa wanajijua wenyewe lakini ule ubinadamu tu huguswi katika moyo wako na kuona Lissu anahitaji huruma na upendo kuliko kumkebehi
Hii dunia inazunguka wandugu tusishangilie magumu ya wenzetu kesho yataweza kukufika
Unaamini hizi porojo
Hahahhh Paskali buana mbona hapa umemuita Kaka naniliiiTetesi ndio kisingizio cha kutunga uongo na uzushi humu jf, Tundu Lissu hawezi kujiunga ACT kwa sababu ndani ya Chadema,
Lissu ni fahali, na ndani ya ACT Zitto ni fahali, mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Kuunga kwangu mkono sio kukubali tetesi hizi bali ni kumkubali mtoa mada. Mimi namkubali sana Kaka Wakudadavua na ninaamini kila asemacho.
P
Kuna wanawake wengi they don’t appreciate been born feminine, they wish they should have been born males, therefore they despise feminism, and when they have a chances like Jf pen names, wanajitambulisha as boys, most of them are the tomboys. Hivyo ukikutana na mdada anayejitambulisha kuwa ni mkaka, grant her wish kama Kaka Wakudadavua.Hahahhh Paskali buana mbona hapa umemuita Kaka naniliii
Amekupa jinsia Yake!
Hapo juu umeandika ukweli nakubaliana na wewe
Eti eeh!Aisee kila nikikumbuka ulivyozungusha mikono kumshangilia Lowassa huku ukitamba na jina la "ulofa na pumbavu" nacheka sana
Hivi mbowe slirnda lini ubelgijNdugu zangu,
Bado ni tetesi lakini hapa JF ni muhimu huu mjadala ukawepo kwa afya ya siasa za nchi.Zitto Kabwe ndiye mwanasiasa pekee aliyemtembelea Tundu Lissu mara tano hospitalini,mara tatu Ubelgiji mara mbili Nairobi.Inasemekana ziara za Ubelgiji zaidi zilijawa na mazungumzo kuhusu hatma ya Lissu kisiasa kwa mazungumzo ya wiki mbili zilizopita kuna uwezekano mkubwa Tundu Lissu akajiunga na ACT Wazalendo ili kuendelea na shughuli za siasa.
Bado haijaeleweka kwanini Lissu anafikiri kuondoka Chadema hizi ndio siasa na mauzauza yake,huenda kuna alama za nyakati zimesomwa.
Zaidi ya hilo kijana Abdul Nondo ambaye miezi michache alitumika na Mbowe ili kufifisha nguvu za Zitto Kigoma sasa rasmi ACT Wazalendo ambapo wakati wowote atapewa majukumu ndani ya chama hicho baada ya kumaliza masomo yake UDSM.
Habari nyingi huanza kama tetesi hapa JF mwishowe hubainika kuwa ni za kweli.
Muda utaongeaMnapika tetesi, CDM bado imara.
Sina imani na Zito kwenye oppsn naona kama moore ya MaCCM.
Makamanda tumia akili hekima na busara huyo ni Mrema No2.
Dr Kitilya ni katibu mkuu Maji, Shonza waziri nk wote wadau wa Zito. Simuamini kama mpinzani wa kweli!!
Anatumika kudhoofisha CDM niamini!!
Haya sasaMnapika tetesi, CDM bado imara.
Sina imani na Zito kwenye oppsn naona kama moore ya MaCCM.
Makamanda tumia akili hekima na busara huyo ni Mrema No2.
Dr Kitilya ni katibu mkuu Maji, Shonza waziri nk wote wadau wa Zito. Simuamini kama mpinzani wa kweli!!
Anatumika kudhoofisha CDM niamini!!
Haya saaaEti eeh!