Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, asante kwa hii ya wewe kuzinyaka info nyeti kutoka deep inside Chadema, nakuaminia sana!.Ndugu zangu,
Hali ilipofika sasa lolote laweza kutokea, nilishawahi kusema siasa ni fursa sasa ndicho kinachoenda kudhihirika. Pamoja na kuzawadiwa umakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na mazungumzo na Ndugu Zitto Kabwe ili kuona namna watakavyoshirikiana cha kushangaza mazungumzo haya hayahusishi Chadema bali ni Tundu Lissu mwenyewe.
Habari za ndani ni kuwa mazungumzo hayo yamefikia pazuri na sasa inasubiriwa uchaguzi ndani ya ACT ukamilike ili kukamilisha baadhi ya taratibu muhimu. Imevuja kuwa Zitto Kabwe aliongeza siku kumi nchini Marekani ili kumalizia kusuka mipango ya ushirikiano wao. Ikumbukwe miezi michache iliyopita Chadema walilazimika kumshambulia Zitto Kambwe mitandani baada ya safari za ubelgiji kuzidi huku akiachia picha akiwa na Lissu kwenye mitandao ya kijamii jambo lililomfanya Mbowe kumpatia Lissu Uenyekiti.
Ni suala la muda tu uzi huu hapa chini unaonesha unathibitisha kuwa yanatimia kwa Nondo sasa kuula (uenyekiti wa vijana) tusubiri la Lissu.
https://www.jamiiforums.com/threads...zalendo-abdul-nondo-naye-kuula.1626440/page-2
Pia kuna za chinichini Pasco wa JF (mzee wa njaa) kuteuliwa kuwa naibu Waziri wa habari na michezoNdugu zangu,
Hali ilipofika sasa lolote laweza kutokea, nilishawahi kusema siasa ni fursa sasa ndicho kinachoenda kudhihirika. Pamoja na kuzawadiwa umakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na mazungumzo na Ndugu Zitto Kabwe ili kuona namna watakavyoshirikiana cha kushangaza mazungumzo haya hayahusishi Chadema bali ni Tundu Lissu mwenyewe.
Habari za ndani ni kuwa mazungumzo hayo yamefikia pazuri na sasa inasubiriwa uchaguzi ndani ya ACT ukamilike ili kukamilisha baadhi ya taratibu muhimu. Imevuja kuwa Zitto Kabwe aliongeza siku kumi nchini Marekani ili kumalizia kusuka mipango ya ushirikiano wao. Ikumbukwe miezi michache iliyopita Chadema walilazimika kumshambulia Zitto Kambwe mitandani baada ya safari za ubelgiji kuzidi huku akiachia picha akiwa na Lissu kwenye mitandao ya kijamii jambo lililomfanya Mbowe kumpatia Lissu Uenyekiti.
Ni suala la muda tu uzi huu hapa chini unaonesha unathibitisha kuwa yanatimia kwa Nondo sasa kuula (uenyekiti wa vijana) tusubiri la Lissu.
https://www.jamiiforums.com/threads...zalendo-abdul-nondo-naye-kuula.1626440/page-2
mitandioNdugu zangu,

Mashine ya umbea kaziniNdugu zangu,

Kuhama hama vyama ni utaratibu mbovu ambao tunarithisha vizazi vijavyo.
Hiyo sio demokrasia, ni kukosa misimamo.
😬😬😬
Aisee... Hao ndio wa kuipatia ushindi chadema.?Uksndamizaji ukizidi unajipalia makaa sasa patapicha safu hii 2020;
MEMBE - Mgombea Urais
JUSSA - Mgombea mwenza
SEIF - Mgombea Urais (Zenji)
LISU - Waziri mkuu
Kampeni inashambuliwa na
Nyalandu
Zitto
Mbowe
Mnyika
Lema
Sugu
Msigwa
Mdee
Bulaya
*wakulima korosho,pamba,kahawa,mchikichi nk.
*wafanyaka
Jumlisha watakaopigwa chini kura za maoni na wataomfata Membe... Ngojeni ncheke ntaendelea hihihiiiihhiiiii........
Leo kwa mara yakwanza nakupa "like" kumbe akili unazo ila huwa unaziweka mfukoni Mr. stroke . Sisi sio kuwa hatuipendi CCM na serikali yake ila tunachukia upuuzi wa CCM na serikali yake pamoja umungu mtu ulioko huko.Kuhama hama vyama ni utaratibu mbovu ambao tunarithisha vizazi vijavyo.
Hiyo sio demokrasia, ni kukosa misimamo.
Mbona umeongea kama una akili Timamu au kwa sababu tukio linatokea upande wa upinzaniKuhama hama vyama ni utaratibu mbovu ambao tunarithisha vizazi vijavyo.
Hiyo sio demokrasia, ni kukosa misimamo.
siamini katika siasa za kuhama hama.Mbona umeongea kama una akili Timamu au kwa sababu tukio linatokea upande wa upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Big up mkuu ..ila ndo gharama zenyewe za demokrsiasiamini katika siasa za kuhama hama.
Hakuna jambo baya kama mtu anayekosa msimamo.
Leo hivi kesho vile. Hapana.