Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Mkuu hivi utajisikiaje kesho au kesho kutwa au wiki zijazo ukasikia Lisu yupo ACT? kwamba umesahau kabisa ya Lowasa? Hivi nyie watu wa chadema akili zenu mlikabidhi kwa mbowe jumla Jumla?

Kwanini huwa hamtafakari Lakin?
Ukiishi kwa assumption namna hiyo basi waweza kuweka akilini kuwa Siku moja Jiwe anaweza kuomba msamaha hadharani kuwa alituma watu wamuue Lissu.
 
Nimekuelewa mkuu Pascal Mayalla
 
Ukiishi kwa assumption namna hiyo basi waweza kuweka akilini kuwa Siku moja Jiwe anaweza kuomba msamaha hadharani kuwa alituma watu wamuue Lissu.
Aisee kila nikikumbuka ulivyozungusha mikono kumshangilia Lowassa huku ukitamba na jina la "ulofa na pumbavu" nacheka sana
 
Mkuu naomba nikuulize kwa mara nyingine tena
Lissu alikukosea nini?

Unakosa utu na huruma kwa huyu mtu kweli?!
Tuweke mbali siasa maana wanasiasa wanajijua wenyewe lakini ule ubinadamu tu huguswi katika moyo wako na kuona Lissu anahitaji huruma na upendo kuliko kumkebehi
Hii dunia inazunguka wandugu tusishangilie magumu ya wenzetu kesho yataweza kukufika

Unaamini hizi porojo
 
Wafadhiliwe na ACACIA kwa maslahi ya taifa???
Bepari huwa hatoi hela isiyorudi
 
Hili limetokea wapi?, mimi kumuunga mkono Kaka Wakudadavua ndio ipelekee wewe kuniuliza mimi Lissu amenikosea nini?!. Wapi nimekebehi?!
Please!.
P
 
Hiyo ni habari njema. Kwanza ni vyema Lissu akajificha (stay low) akiwa ACT kuliko kurudi M4C. Lakini pia ACT ni chama rafiki (necessary evil) ukilinganisha na Chadema. Hapo anaweza kurudi nchini afanye siasa hadi 2025 atakapokuwa na nafasi ya kushindania Urais (nasema hivi kwavile 2020 akigombea itakuwa ni kupiga jalamba tu).
 
Sio vyema wala busara kuwapangia watu hisia ili walingane na wewe, hasa kwenye siasa. Binadamu tuko tofauti kiasili.
 
Kwa post hii na comments hizi ni dhahiri kwa mtu mwenye upeo atajua tu hawa ni wataalam wa kubadili mawazo ya watu watawapata wachache
 
Hahahhh Paskali buana mbona hapa umemuita Kaka naniliii
Amekupa jinsia Yake!

Hapo juu umeandika ukweli nakubaliana na wewe
 
Hahahhh Paskali buana mbona hapa umemuita Kaka naniliii
Amekupa jinsia Yake!

Hapo juu umeandika ukweli nakubaliana na wewe
Kuna wanawake wengi they don’t appreciate been born feminine, they wish they should have been born males, therefore they despise feminism, and when they have a chances like Jf pen names, wanajitambulisha as boys, most of them are the tomboys. Hivyo ukikutana na mdada anayejitambulisha kuwa ni mkaka, grant her wish kama Kaka Wakudadavua.
P
 
Mnapika tetesi, CDM bado imara.
Sina imani na Zito kwenye oppsn naona kama moore ya MaCCM.
Makamanda tumia akili hekima na busara huyo ni Mrema No2.
Dr Kitilya ni katibu mkuu Maji, Shonza waziri nk wote wadau wa Zito. Simuamini kama mpinzani wa kweli!!
Anatumika kudhoofisha CDM niamini!!
 
Hivi mbowe slirnda lini ubelgij
 
Muda utaongea
 
Haya sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…