Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Kumekucha
 
Ni muda tu
 

Si lazima ataka kama huna cha kuandika alimradi tu uandike
 
ivi wale accasia walishatulipa kile kifungua uchumba cha makinikia? ujinga ni mzigo mkubwa sana kwa taifa hili.
waliopitisha mikataba kwa kukatika mauno pale bungeni ni wabunge wa ccm leo unawataja kina lisu ambao walikuwa wanapiga makelele wakati huyo mnaemuita MZALENDO alikuwa bungeni? alipinga kwanini.
CCM NDIYO WABAYA WA NCHI HII
 
Muulize Tundu ndio wafadhili wake
 

Mbona hushangai waliemuweka Ngoyai kwny orodha ya Mafisadi Papa ndio hao hao walimpa nafasi ya kuwania Urais?
 
Mshageuza jf chungu Cha ramli, tabiri na bashiri.
 
Kwahiyo nawe utamfuata mmeo huko au utabakia na mchepuku huko lumumba?
 
Ndugu zangu,

Hali ilipofika sasa lolote laweza kutokea, nilishawahi kusema siasa ni fursa sasa ndicho kinachoenda kudhihirika. Pamoja na kuzawadiwa umakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na mazungumzo na Ndugu Zitto Kabwe ili kuona namna watakavyoshirikiana cha kushangaza mazungumzo haya hayahusishi Chadema bali ni Tundu Lissu mwenyewe.

Habari za ndani ni kuwa mazungumzo hayo yamefikia pazuri na sasa inasubiriwa uchaguzi ndani ya ACT ukamilike ili kukamilisha baadhi ya taratibu muhimu. Imevuja kuwa Zitto Kabwe aliongeza siku kumi nchini Marekani ili kumalizia kusuka mipango ya ushirikiano wao. Ikumbukwe miezi michache iliyopita Chadema walilazimika kumshambulia Zitto Kambwe mitandani baada ya safari za ubelgiji kuzidi huku akiachia picha akiwa na Lissu kwenye mitandao ya kijamii jambo lililomfanya Mbowe kumpatia Lissu Uenyekiti.

Ni suala la muda tu uzi huu hapa chini unaonesha unathibitisha kuwa yanatimia kwa Nondo sasa kuula (uenyekiti wa vijana) tusubiri la Lissu.

https://www.jamiiforums.com/threads...zalendo-abdul-nondo-naye-kuula.1626440/page-2
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…