Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Lumumba mkikosa vya kuandika huwa mnachekesha sana!
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, asante kwa hii ya wewe kuzinyaka info nyeti kutoka deep inside Chadema, nakuaminia sana!.

Kitu wanachokifanya Zitto na Lissu ni kuunda kitu kinachoitwa "a winning coalition", mmapokaribia Uchanguzi Mkuu, huku kuna a dominant party CCM, vyama vingine vidogo vidogo vinaangalia areas of strength hivyo kuunda strategic alliances za kushirikiana ili kila chama kidogo kifaidike na strength za mwenzake.

Tundu Lissu ndie the best serious contender for opposition kusimama na Magufuli na akamtoa jasho,
https://www.jamiiforums.com/threads...0-ameonyesha-uwezo-zaidi-ya-magufuli.1289828/

Lissu anajua ameisha amua nini kuhusu kurejea nyumbani na anajua Chadema haina anyone wa kusimama na Magufuli, Magufuli aka feel the heat, hivyo Zitto ndiye the one and only, hivyo kama Chadema inataka kuambulia chochote katika uchaguzi Mkuu ujao ni lazima washirikiane na Zitto.

Moja ya matatizo makubwa ya upinzani ni Usultani katika uongozi wa Juu, hivyo Zitto anakabidhi nafasi zake zote za uongozi wa ACT kwa Jussa na Maalim na kubaki mwanachama tuu wa kawaida ili ikitokea Chadema kugoma kushirikiana na ACT, Lissu atie shinikizo.

P
 
Pia kuna za chinichini Pasco wa JF (mzee wa njaa) kuteuliwa kuwa naibu Waziri wa habari na michezo
 
mitandio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine ya umbea kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo na Membe ataenda ACT wazalendo ?? Maana kwa usajiri huu anaofanya Zitto sio wa kubahatisha...
 
Uksndamizaji ukizidi unajipalia makaa sasa patapicha safu hii 2020;
MEMBE - Mgombea Urais
JUSSA - Mgombea mwenza
SEIF - Mgombea Urais (Zenji)
LISU - Waziri mkuu
Kampeni inashambuliwa na
Nyalandu
Zitto
Mbowe
Mnyika
Lema
Sugu
Msigwa
Mdee
Bulaya
*wakulima-korosho,pamba,kahawa,mchikichi nk.
*wafanyakazi- walonyimwa nyongeza za mishahara na kukatwa mmno heslb wasoelewa hatma ya kikokotoo cha pensheni nk.
*vijana walokosa kazi na waliopo vyuoni/shuleni wasotarajia kazi
*wanabiashara- waloteswa makodi,kutekwa kutishiwa na walofunga kabisa biashara.
*wastaafu- wanaoteseka penseni haba isiyo ya uhakika
*waandishi,Ngo's mashirika mbalimbali,mataifa mengiii,mabalozi walompenda Membe nk.

Jumlisha watakaopigwa chini kura za maoni na wataomfata Membe... Ngojeni ncheke ntaendelea hihihiiiihhiiiii........
 
Unajitahidi kubashiri ili likijatokea uonekane kuwa uko jikoni
 
Aisee... Hao ndio wa kuipatia ushindi chadema.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhama hama vyama ni utaratibu mbovu ambao tunarithisha vizazi vijavyo.

Hiyo sio demokrasia, ni kukosa misimamo.
Leo kwa mara yakwanza nakupa "like" kumbe akili unazo ila huwa unaziweka mfukoni Mr. stroke . Sisi sio kuwa hatuipendi CCM na serikali yake ila tunachukia upuuzi wa CCM na serikali yake pamoja umungu mtu ulioko huko.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…